Recent content by kilio

  1. kilio

    JamiiForums Tanzania NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Unaonekana wewe uliombea kwenye ofisi za nssf za majiji kama dar es salaam. Mim niliombea Ilala ilikaa sana. Walipo nirudishia nibadilishe bank account, sikufanya makaosa nikabadilisha ofisi ya nssf nikapeleka mkoan, nika update ofisi ya mkoani uko mbali na dar es salaam. imetumia siku kumi...
  2. kilio

    JamiiForums Tanzania NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  3. kilio

    JamiiForums Tanzania Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Mitandao yote wamefanyahivyo kwanini atoe. Focus na mada
  4. kilio

    JamiiForums Tanzania KERO University of Iringa Wafanyakazi hatujalipwa mishahara kwa miezi mitatu

    Ungejikita kwenye mada, siyo kutukana ardhi ya Mkwawa. Usisahau Trump anatutambua kama jimbo la 52 la Marekani. Balozi wa Marekani akifikaga Iringa ataki kuondoka. Anasema sijawahi sikia chemba za vyoo wala harufu ya binadamu ananuka jasho.. GOOD WEATHER CONDITION, green town ndiyo maisha yetu.
  5. kilio

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Nimefatilia huyu jamaa kwanza ni mpambanaji, pia inaonekana ana mahusihano ya kifamilia na millard Ayo huko kijijin kwao uchagani. Mahusihano yake yanazidi miaka 10 na huyo marehemu mke wake. ..
  6. kilio

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Kwanza huyo mwanamke hana AJIRA , anakupotezea mda.. Kabla ujaingia gharama za kipumbavu achana nae.. Yuko kwako kupunguza njaa zake
  7. kilio

    JamiiForums Tanzania TRA Wazo Bunifu kuboresha Huduma ya mifumo ya kodi limeishia wapi?

    Nauliza mchakato unaendeleaje kimya sana toka july 31 hamna jipya. Innovation portal update yao hamna kitu
  8. kilio

    JamiiForums Tanzania KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Anzisha CBO-Community Base Organization); usajili ni 5000. Anza kuandika project proposal..
  9. kilio

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya "Special Lupsum" na Unemployment 33.3% Katika UNEMPLOYMENT BENEFIT za NSSF nini?

    Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector. Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko kwenye kipengele cha category SPECIAL LAPSUM na UNEMPLOYMENT 33.3% , nipate Unemployment benefit...
  10. kilio

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Hakuna ata mmoja. Ata kama mwanamke akikupenda na akawa anakupa mshahara wake. Kuna vikao vya kifamilia ukialikwa ukwen utagundua wewe ni useless..... Na watoto wako watakuwa na mapenzi na ukweni si unajua Generation Alpha haitaki shida. Kwenye urahisi ndio wanapopenda.
  11. kilio

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Huo ni ufala, Moja ya ujinga ambao niliukataa maishani mwangu kuogopa kufukuzwa kazi kwa kudai hak yangu. Hakuna binadamu anayekupenda na kuheshimuu taaluma yako akakuweka miezi minne bila mshahara..
  12. kilio

    JamiiForums Tanzania Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

    TANESCO ni taasis kubwa. Baada ya 4 years in the Mega Digital Transformation project in TANESCO. Nikagundua kwamba lack of information ndio inasababishwa watanzania kutoajiliwa kwenye miradi wanayopewa wakandarasi wa nje. Hakuna chuo Tanzania kinachofundisha ERP. Kwahiyo tunaendela kusema...
  13. kilio

    JamiiForums Tanzania Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

    Ni ukosefu wamaarifa, ndio unaosababisha nchi hii isiendelee..
  14. kilio

    JamiiForums Tanzania Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

    Kazi yetu ni kutoa maarifa. Kujenga daraja.. Mabadiliko hayo nimehusika katika implementation. Nimeona fursa ndani ya mradi. Ila kwa miaka ijayo Taasis za Umma zitaacha kuajiri kwa kutumia vyeti kwasababu hawana mda wa kutrain mtu haendane na mabadiliko kiteknolojia.. Lazima uwe na msingi mzuri...
  15. kilio

    JamiiForums Tanzania Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

    Sina fani ya umeme, Hila ndiyo sehemu ya hayo mabadiliko kwa miaka 4. Na ndiye aliyekuwa mtanzania pekee kwenye hayo mabadiliko kutoka timu ya contractor na Consultant.. Ujuwe mradi mkubwa kama huo hupo katika nchi yako Code 255, halafu ni mtanzania pekee unaofanyakazi . lazima upate mashaka na...
Back
Top Bottom