Usimung'unye maneno. Waarabu wanaona watu wengine kama hawana thamani. Nimebahatika kuishi nchi za Kiarabu nikaona ubaguzi wao, ni mbaya kuliko hata saratani
Ndugu ZeMarcopolo ujumbe wako unahusiana na alichoandika mkuu mtatiro Julius ??
Ni busara kukaa kimya kama huwezi kujibu/kuhoji hizo hoja alizoandika Mtatiro.
MUNGU IBARIKI TANZANIA na Watanzania Malofa
DAVIOn Delmonte Jr Je vipi kuhusu inflation. Je hiyo Treasury bills inakua inahusika na kuporomoka kwa thamani ya fedha?? mfano ukiweka 10m ambayo inaweza kununua kiwanja Kibamba alafu baada ya mwaka kiwanja cha Kibamba kikauzwa 15m huwezi kununua kwa kua pesa yako ikiiva inakua 13.33m. Au...
Kaka huyo dno Zitto, kaja na tuhuma za kusikia na kajibiwa kwa maneno rahisi naya kaelewa. Ndio Jembe hilo. Ila kama unafuatiloia kuna video yake akinadi chama chake cha ACT-Wazalendo alisema kama Lowassa anataka kuja kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo anakaribishwa awaambie Watz kuhusu fedha...
Zitto anapenda Sifa kuliopitiliza. Kaona Kafulila anapewa zawadi kwa issue ya ESCROW sasa anaanza kutaka yeye ndo atajwe kama ndio kila kitu??. Zitto abadilike sasa.
Bojan , Katiba haisemi ni lazima Mawaziri watoke chama kimoja na rais, ila inasema Waziri lazima awe mbunge. Hivyo mawaziri wa UKAWA watatoka kwa wabunge wa vyama vyote. Na hata kama watataka kuchagua mbunge kutoka ccm watakua hawajavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Hichi chakula (Pure au Kande) mara nyingi upenda kupikwa siku ya ijumaa kinaliwa hadi Jumamosi jioni. Upishi wake lazima uwe na mahindi na maharagwe lakini unaweza kuongeza vingine kama mboga za majani, maboga n.k. Wakati wa kula unaweza kuweka maziwa mtindi au ulaka moja kwa moja. Ukiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.