Recent content by Kilio Cha Miti

  1. K

    Wafanyabiashara wa mji mdogo wa Sirari Tarime wafanya mgomo

    Hizi taarifa sio za ukweli hata kidogo haoa tatizo limeletwa na Mfanyabiashara Joseph Nyamasagara
  2. K

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Wana janvi nawashukuru sana kwa ushauri wenu ntaufanyia kazi maama mawazo yenu yamekua muhimu sana kwangu. Kama kuna ushauri wa ziada nko teyali kuupokea mda wowote kupitia thread hii.
  3. K

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Labda mnisaidie kujua ni viashiria vipi ntakavyotumia kumpima kua hatakuwa shida kwangu kwa kipindi hiki ambacho bado tuko kwenye uchumba...?
  4. K

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Mkuu ni ile tu psychology inayonisumbua kuwa mwanamme wa mwanamke anaye nizidi kipato na umri
  5. K

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Vyote mkuu yaani mshahara na Umri.
  6. K

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu. Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa. Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia...
  7. K

    Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Ni ushauri tu Mkuu ilimradi atoke Kanda za Issenye/Natta/Ikoma
  8. K

    Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Baada ya kupata ushindi wa Kishindo katika jimbo la Serengeti yaani Ushindi wa Mbunge Mw. Marwa Ryoba na Madiwani 18 kati ya 30 watakao wawezesha kuunda Halmashauri kwa kupata Mwenyekiti kiti wa Halmashauri kutoka Chadema tangu Uhuru. Nashauri wawe makini katika Uchaguzi wa Mwenyekiti na...
  9. K

    Ubunge Jimbo la Serengeti

    Jamani nakiomba sana chama changu cha Mapinduzi, haswa ngazi ya Mkoa wa Mara, watuongezee nguvu jimbo la Serengeti maana hawa Ukawa wanatusumbua sumbua ila naimani tutashinda, haswa kama tutapata support ya kutosha kutoka makao makuu naimani mpo humu na ujumbe utafika. Serengeti ni ya CCM na...
  10. K

    Amani ya Tanzania

    Amani ya mama Tanzania iko mikononi ya sisi Watanzania haswa sisi vijana tulio na nguvu za kutosha maana kesho inatuhusu sana. Natoa rai kwa kila Mtanzania kutimiza wajibu wake wa kulinda amani ya Nchi hii kuanzia viongozi wa vyama vya siasa, Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia, Tume ya Uchaguzi...
  11. K

    Amani ya Tanzania

    Amani ya mama Tanzania iko mikononi ya sisi Watanzania haswa sisi vijana tulio na nguvu za kutosha maana kesho inatuhusu sana. Natoa rai kwa kila Mtanzania kutimiza wajibu wake wa kulinda amani ya Nchi hii kuanzia viongozi wa vyama vya siasa, Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia, Tume ya Uchaguzi...
  12. K

    Yu wapi Zitto Kabwe?

    Zitto atashinda kwa kishindooo
Back
Top Bottom