Yu wapi Zitto Kabwe?

Yu wapi Zitto Kabwe?

Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.

Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.

Zitto atashinda kwa kishindooo
 
Huwa mafuriko huchukua matunguri yote..pengine anatafuta lake.
 
Pesa za kampeni za ACT kapewa na ccm, sasa ajitokeze kuwasema mabosi wake? Tanzania ni strong hold ya ukawa akisema ukawa vibaya wanazaa naye!
 
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.

Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.

Mkuu, Mh. Zitto nipo nae hapa Urusi barabara ya Lumumba, Mwanga Kigoma Mjini, tunapata kahawa na kashata, anawashangaa CHADEMA hawazungumzii ufisadi, hapa Wazalendo wa Kigoma tunamsikiliza kwa makini!
 
Kabwe ari tete jimbon kwake.sizan kama mjengoni ataingia.....

Subiri utaona majibu tarehe 26. Zitto kwa taarifa Zitto siyo kilaza kama Mbowe, Zitto anajua ACT hawawezi kupata Urais mwaka huu, amejikita kwenye wabunge ili chama kiwe na nguvu katika bunge lijalo, Zitto anazunguka nchi nzima kusaidia wagombea ubunge na udiwani, kwa kifupi mpaka sasa kasulu mjni MOSES MACHALI anasubiri kuapishwa, Jimbo la Kasulu Vijijini kuna kijana anakimbiza vibaya kijana anaitwa THOMAS MSASA anasubiri kuapishwa. Hawa vijana wawili hawana upinzani, yule mama wa NCCR mageuzi Agripina Buyogela kwisha kabisa CCM ndiyo kabisaaa. David kafurila hali yake mbaya Zitto kapiga kambi kila wiki lazima aende na vijana wake kupiga kampeni kuubwa. Jimbo la Kigoma mjini Zitto hana mpinzani Dr Warid kabour alishakataliwa mbele ya magufuri.

Kwa kifupi Kigoma hawachagui chama wanachagua mtu: matokeo yatakuwa kama ifuatavyo; 80% ubunge ACT, CCM jimbo moja la kibondo, CHADEMA wanaweza kupata jimbo la zamani la ZZK kwaani kuna mjumbe wa CDM bwana YARED FUBUSA mentor wa ZZK kwenye siasa, japo kuna ushindani mkubwa na ACT. NCCR wanaweza kupenya kwa DAVID KAFURILA lkn siyo simple.
 
Pesa za kampeni za ACT kapewa na ccm, sasa ajitokeze kuwasema mabosi wake? Tanzania ni strong hold ya ukawa akisema ukawa vibaya wanazaa naye!

Usichokijua ni kwamba hata huyo mzee wa kujinye**a pesa za kampeni anapewa na Ccm
 
Zitu kafichwa na UKATA! god father wake MAJI shingoni! Ndiyo maana ameshindwa hata kumtumia mamluki wake almaarufu kama Dr. Mihogo!
 
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.

Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.

Yupo kachanganikiwa kwani bado hajitambui. Habari za uhakika zinasema anatafuta namna ya kuichafua Ukawa ili CCM imlipe milioni 200. Huyu kijana kaishiwa kisiasa.
 
A.y.a.to.l...a amewatosa alioahidi kuwapigia debe na sasa anajaribu kujinusuru na kimbunga cha lowassa na ukawa.
 
Nakumbuka makala ya Pasco ya kama Zitto alimchongea Mengi kwenye lile sakata la kutaka kuangusha serikali ya J.K, alitahadharisha kuwa kama kweli Zitto alihusika basi atapotea ktk siasa. Sasa sijui ndo ivo?
 
Last edited by a moderator:
Kamwite dada baba yako. Kwanza usizoee kuniquote quote ovyo, ntakunyosso.

kumbe we mwanaume im sorry unajua wanaume huwa hatunaga mipasho so niliquote nikijua wewe ni dada baada ya kuona umepost mipasho
 
Back
Top Bottom