Recent content by KILINDI

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM ivunjike tu

    Tatizo wezi ndio wenye Hofu na Lowasa ngoyaye
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Watanzania Tuweni makini kuamuwa kusuka au Kunyoa wanasiasa are opportunist our makosa the will wine us. be smrt and make decessetion.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM ijiandae kisaikolojia kuondoka madarakani Uchaguzi 2015

    Inahitaji kuwa chizi kidogo hili uwe n ujasili wakutetea swala la ESCROW na wapo waljribu na kusububu kutetea kwa nguvu zote
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM ijiandae kisaikolojia kuondoka madarakani Uchaguzi 2015

    Nakubaliana nawe ni vema wakaamini kuwa njia ni nyeupe sana. wajiandae hali ya siasa si njema hata kidogo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

    Kumvua Ujaji sio hoja naona ashitakiwe pia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    EGM NA CBG zote ni flexible combination changua lolote unalolimudu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Inashangaza sana, hata mm sijapata picha itakuwa vip? Maaana huo mwendo kazi hapa katikati ya jiji Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm sijuwi yutu macho tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mh. Ridhiwani Kikwete juu ya wahalifu wa mitandao

    Ndio ukubwa huo yote jema au bovu huja kwako
  9. K

    JamiiForums Tanzania MUHIMU: Tuma maoni yako ya Rasimu ya Katiba Mpya, Mabaraza ya CHADEMA

    Tupunguze idadi ya wabunge kwa kutumia mfumo wa uwakilishi wa seneta na sio ubunge kama ilivyo kwa sasa:bathbaby::A S-cry:
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    TATIZO NI KUTOJUWA NINI KAZI YA SPIKA NI NINI? kiukweli ndugai ndiye aliyechemsha NA YEYE NDIYE ALISABABISHA FUJO ZITOKEE BUNGENI, Spika amegeuza bunge kuwa kikao cha kutetea mapungufu ya chama na sio mahali pakuwajibisha chama na serikari yake, Kukosekana kwa uzalendo wa speka ndio maana haya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere adhulumiwa viwanja

    :target:
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Jamanai tusimlaumu mheshimiwa kwanza naye analinda mslahi yako pili uhuru wa mawazo na tatu ndio uwezo wake kufikiri ndio huo so let us go toogether sisters and brothers
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Jamani ukabila huooooooooooo acheni mambo hayo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

    Hhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

    :llama::flame::msela: Ccm kiukweli inechoka ni wabishi sana hata kama wanauona ukweli lazima wapindisha, Kwa sekeseke la bungeni kuhusu mswada ulitakiwa kujadiliwa hakukuwa na sababu yakuepingana mapaka mapigano kwani jambo liko wazi kuwa wanzaibari hawajashirikishwa. na huo ndio mwanzo wa machafuko
Back
Top Bottom