Recent content by Kilinda82

  1. K

    JamiiForums Tanzania icloud unlock for iphones

    Alafu ni rais ata hao iphone wanafanya biashara so unakuwa unalipa pesa kwao na wanaitazama kama hio cm imeripotiwa kama haijaripotiwa wanaifungua tu na ndio maana kufungua icloud ni khali mnoo inaenda mpka $300 pamoja na ya fundi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

    Ume msahau baharia ama seaman ni noma anafunga mta na dada zao kuwamega
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujibaraguza akitongozwa ni maadili au ushamba?

    Hahahahahahahaa aisee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nisome chuo DIT au nijiajiri kwenye kilimo?

    Safi Sanaa kwa kumpa Ushuri mzuri sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kenya wana tishio kubwa la usalama kuliko Tanzania lakini vyama vya upinzani vipo huru

    Kipi bora Kati ya siasa huru bila kukosa Amani na usalama?ama kua na uhuru lakin hakuna amani akuna usalama so nadhani rudi maktaba tena ndugu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    HAHAHAHHAAAA YULE JAMA NAE KIBOKO
  7. K

    JamiiForums Tanzania SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

    Ukubwa wake na pesa unayouzia bei
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kulalamika kuwa hawana hela?

    Tatizo bongo wanasubir kuajiriwa ndani Wakat njee kaz zipo so lazima uwe na lawama Kama mtoto wa kambo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hivi jamani...

    Hatari sana
Back
Top Bottom