Kufikia kwenye comment yako nimegundua umeleta mjadala kijanja ili upime upepo,yaani umeongea usichokijua ili wanaokijua walete majibu...fala mjamja sana wewe.
Wakuu kwema?
Mimi ni mhitimu wa bachelor ya elimu katika masomo ya Biology na Geography tangu mwaka 2018.
Nimesota sana mtaani kwa miaka minne bila kazi rasmi, kiukweli imefika sehemu hii hali inataka kunipa depression,nimekuja kwenu wakuu kwa mwenye connection ambayo itaniwezesha kupata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.