Recent content by Kileo seif

  1. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge Uganda kuondoa umri wa kuwania urais

    Wabunge kutoka chama kinachotawala nchini Uganda NRM wamekubaliana kuwasilisha mswada ambao unapendekeza kuondewa miaka ya kuwania urais nchini Uganda. Ikiwa watafaulu mswada huo utamwezesha Rais Yoweri Museveni ambaye anaaminika kuwa mwenye umri wa miaka 73, kuwania tena uchaguzi wa mwaka...
  2. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Kwa ambae yuko tanga na afanya biashara ya dagaa namuomba tuwasiliane
  3. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Naomba namba yako ndugu kama upo mwanza 0658521921 hii ni ya kwangu
  4. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Harusi ni Biashara za watu.. wenye kumbi wanatajirika wachangiaji tunateseka tu na kununiana

    Uko sahihi wao wanajua kucheza na fursa
  5. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    CHANGO LA UZAZI {OVULATION DISORDER}- KWA MWANAMKE NA MWANAMME!!! *JUA SASA PENGINE NAWEWE NI MHANGA HUJIJUI TU KIUNDANI,* *SABABU,DALILI NA TIBA ZAKE* Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mwanamke au mwanamme. *HUANZAJE...
  6. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

    Ndugu zangu mimi tin number ninayo nataka kufanya biashara ya miamala ya simu kama tigo pesa na m pesa Naomba kwa aliewahi kukata leseni ya biashara ya miamala ya simu anijuze ngarana ya leseni kwa biashara husika
  7. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

    Gharama za kupata leseni zikoje nataka kufanya biashara ya miamala ya simu (tigo pesa, m, pesa airtel money)??
  8. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa nguvu za kiume

    Kwa tiba na ushauri unaweza kupiga namba ambazo ziko mwisho wa makala utapata msaada 0658521921 /0624073681
  9. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa nguvu za kiume

    Exactly
  10. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa nguvu za kiume

    _UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_ Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya _Testosterone_ ambavyo hutolewa kwa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali tulivu,kuondoa msongo,kuondoa mstuko wa aina yoyote ,kuimarisha uwezo wa kufikiri,kuimarisha furaha ya mwili...
  11. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

    Mungu wako???!!!!!
  12. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

    Pole Sana cha kwanza kabisa zingatia usafi wa nguo zako za ndani na usikae na nguo ya ndani kwa mda mrefu bila kubadilisha kingine Epuka kuvaa nguo za kubana pia kitaalam tunashauriwa kutumia nguo zenye asili ya panga ambazo zinaruhusu hewa kupita sehem za siri huwa hazipendi mazingira ya joto...
  13. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Nataka nianzishe foundations yakusaidia wanawake

    Na mimi pia
  14. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Nataka nianzishe foundations yakusaidia wanawake

    Ndugu mtoa maada ametoa maelezo vzur Sana na ni points tupu kwa mimi binafsi nimemuelewa sna Kwani haya Mambo yako na yanatokea kila siku inauma Sana kwa hali Hii Pia bdo hajasema focus yake iko wapi kama ni vijijini au mijini Acha kumkatisha tamaa ningependa tumpe support
  15. Kileo seif

    JamiiForums Tanzania Zijue Sifa 3 Za Successful Person Kiuchumi

    Ili tuweze kufikia mafanikio lazima tuweke asilimia kadhaa katika kipato pia tukijitahidi kuwekeza Hapa tunawza kufikia mafanikio naungana na wewe mkuu
Back
Top Bottom