Upungufu wa nguvu za kiume

Kileo seif

Member
Apr 13, 2013
57
26
_UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_

Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya _Testosterone_ ambavyo hutolewa kwa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali tulivu,kuondoa msongo,kuondoa mstuko wa aina yoyote ,kuimarisha uwezo wa kufikiri,kuimarisha furaha ya mwili wako na hatimaye kuimarisha nguvu za kiume na hatimaye kufurahia tendo la ndoa.
-Kazi kubwa ya kichecheo hiki ni kuhakikisha mwili wako unakuwa katika hali tulivu kabisa kwa kuutuliza ubongo wako ndipo utafurahia ndoa yako.

>>>Sasa endapo kichecheo hiki kikivurugika kinasababisha vichocheo vingine kama _insulin,leptin,cortisol_,vichocheo vya ukuaji pia kuvurugika kwani matokeo ya hitililafu hii mwilini inasababisha *KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME* kwa sababu vichocheo hivi vinafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, na endapo kimoja tu kikivurugika vyote vinapoteza mwelekeo na tatizo kuwa sugu Zaidi.

>>>Angalia ni namna gani nguvu za kiume zinapotea kutokana na mvurugiko wa vichocheo hivyo vikuu vitatu kama nilivyo vitaja hapo juu.

1.
_TESTOSTERONE_

>>>Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kicheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa.
-Upungufu wa kichecheo hiki kinasababisha kupungua kwa matamanio kwa jinsia tofauti,kupungua kwa nguvu za misuli yako kiutendaji,mafuta kurundikana ovyo mwilini {BELLY FAT AND OBESITY}

>>>Lakini pia ijulikane kuwa kichocheo hiki cha _testosterone_ sio kwamba kinapatikana kwa wanaume tu, la hasha!
-Kichocheo hiki hata wanawake wanacho ingawaje kwa kiwango cha chini sana, endapo kinapokuwa kimepungua kinaweza kumsababishia mwanamke kukosa matamanio kwa jinsia ya kiume wakati wa tendo la ndoa,
-kukosa nguvu ya misuli ya kuhimili tendo la ndoa (Kuchoka Sana),
-kuongezeka uzito kupita kiasi na nyama uzembe pia kupunguza uwezo wako katika kufikiri na kumbu kumbu.

_NINI KINASHUSHA TESTOSTERONE MWILINI MWAKO?_

>>>Moja ya kisababishi kikubwa cha _testosterone_ kushuka kiwango chake ni kwa sababu ya kuwepo na kizuizi cha insulin _{nsulin resistance}_ hii inafanya kiwango cha insulin kuwa juu sana na kusababisha _testosterone_ kushuka kiwango chake.
-Moja ya sababu zinazo sababisha kiwango cha insulini kuwa juu sana ni unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda na pia ulaji wa vyakula vyenye vionjo mbalimbali vitamu vilivyotengenezwa viwandani.
-Hivyo basi sukari inapokuwa ipo katika kiwango cha juu sana kwenye damu inasababisha utolewaji wa insulin kuwa katika kiwango cha juu pia kwenda kusawazisha sukari irudi kawaida.
-Hivyo basi matumizi ya vyakula na vinywaji vya sukari nyingi vinafanya mwili upate kizuizi katika utendaji kazi wa insulin na hatimaye _testosterone_ pia kushuka kiwango chake. Najua umejifunza sasa kwa nini watu wanaotumia vyakula vya viwandani,vinywaji vya sukari nyingi,ulaji wa vyakula vyenye mafuta mabaya jinsi gani inasababisha vichocheo vyako kushuka kiwango na unaendelea kusumbuka sana.
-Watu hawaogopi vyakula vyenye sukari wanaogopa vyakula vyenye mafuta mengi, hio ni fikra potofu sana! Sugar is more addictive than heroin and cocaine, kwa maana nyingine watu ni walevi wa vyakula na vinywaji vya sukari na haipo siku anaweza kuacha haraka.
-Usihofu kama una tatizo hilo ujue tayari umeshaathiriwa na ulaji wa vyakula na vinywaji hivyo.

2. _INSULINI_

>>>Hiki ni kichecheo ambacho hutolewa na kongosho lako ili kwenda kusawazisha kiwango cha sukari mwilini mwako.
-Kazi kubwa ya maji haya ya insulin ni kuhifadhi nishati ya mwili kwa matumizi ya baadae pale mwili unapokuwa una nishati ya kutosha na hautaki kupoteza nishati ya ziada.
-Nishati hii huhifadhiwa asilimia kubwa katika mfumo wa _glycojeni_ mwilini mwako kwenye misuli,ini nk.
-Sasa inapotokea kiwango chako cha ulaji wa vyakula vya sukari ni kikubwa sana ndivyo kiwango kingi cha insulin kitatengenezwa na kumwagwa kwenye mzunguko wa damu kwenye kuhifadhi sukari ya ziada ambayo haitumiki wakati ule na hatimaye kusazisha kiwango cha sukari mwilini mwako.
-Kazi ya insulin sio kushusha sukari kama wengi tunavyofundishwa darasani! Kwa nini?
-Kazi ya insulin ni kuhifadhi nishati ya ziada kwa matumizi ya baadae na hivyo basi kupungua kwa sukari ni matokeo ya kazi ya insulin mwilini mwako.

3. _LEPTIN_
>>>Hiki ni kichocheo cha pekee sana kwani kinaonesha jinsi gani binadamu alivyo umbwa kwa kutumia teknolojia ya uhandisi wa hali ya juu. Hiki ni kichecheo ambacho kinatengenezwa na seli zinazohifadhi mafuta ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye misuli,kazi yake kubwa ni kupeleka ujumbe kwenye ubongo katika kuendesha hamu yako unapokuwa una chakula mbele yako, na ubongo huitikia kwa kutoa taarifa ya kutosheka na chakula kwa kujihsi umeshiba na huwezi tena kuendelea na chakula.

Sasa basi ulaji wa vyakula vingi bila mpango vyenye sukari nyingi unasababisha seli za kuhifadhi mafuta (FAT CELLS) kutengeneza kwa wingi leptin ili kwenda kutimiza kazi yake. Kiwango cha insulin na leptin hupanda kwa pamoja kama mapacha vile.
-Itafikia wakati kiwango kingi sana kinasababisha leptin kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi yake (KUKATA HAMU YA CHAKULA) hivyo utakuwa una tatizo la kula mlo mkubwa ambao hata siku moja hautosheki na ukitosheka muda si mrefu unahitaji tena kula.
-Hapa ndio watu wengi ni wahanga wa muda wote wanapenda kula vyakula vitamu vitamu tu, hamu haiishi (Sugary addicted,sugar craving) na wengi huishia kupata matitizo ya kiafya kama kuishiwa nguvu za kiume,uzito kupita kiasi,kitambi na kuishiwa nguvu kabisa ya misuli yote haya ni kwa sababu kiwango kingi cha leptin na insulin kinashusha vicheo vyako vya _testosterone._

4. _CORTISOL_

-Hiki ni kichocheo ambacho hutolewa na mwili pale unapokuwa katika hali yoyote ya mstuko ili kwenda kukabiliana na mtuko huo.

>>>Mfano ulikuwa unatembea njiani ghafla ukaona nyoka huyo.
-Mwili utastuka sana na kutoa vichecheo vinavyo enda kupambana na hio hali iliyoshtua mwili wako, mfano cortisol huenda kuongeza kiwango cha nishati ya mwili (glucose) kwenye damu na kuwa na nguvu ajabu ya kumkimbia adui yako aliyepo ,mbele yako.

- _Cortisol_ pia hutolewa hata kama mwili wako umekabiliwa na mstuko ndani kwa ndani mfano,sukari mwilini imepungua mwili unatoa _cortisol_ ambayo kazi yake kubwa ni kubadili ile nishati iliyokuwa imehifadhiwa katika mfumo wa _glycogen_ kwenye misuli na ini kuwa sukari na hatimaye kuongeza sukari mwilini mwako.

>>>Sasa tafiti zinasema kwamba,kiwango kingi cha _cortisol_ kwenye damu kinachosababishwa na msongo,mstuko ndani ya miili yetu inayo endelea inasababisha _LEPTIN_ kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi yake ipasavyo.

>>>Na endapo leptin ikishindwa kufanya kazi yake ipasavyo utakuwa una tatizo la kula sana hasa vyakula na vinywaji vya sukari bila hamu kukata na hatimaye kusababisha insulin kupanda juu na testosterone kushuka chini na hatimaye kuishiwa nguvu za kiume,matamanio kwa jinsia tofauti nk.

>>>Umeona sasa ni nini kinatokea endapo unapatwa na upungufu wa nguvu za kiume kwani wengi wamekuwa wakipiga simu kutaka kujua kwa nini nguvu za kiume sasa, basi leo nazani umejifunza kitu,

>>>>Vitu vikuu 4 vinavyo angamiza watu kukosa nguvu za kiume hawa ndio maadui wako wakuu kuhusu tatizo lako hilo.

1. _Vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda_

-Hivi ndio vimekuwa ni vinywaji vya kila siku hasa kwa wafanya kazi, ndio maana wengi wamekuwa wakisumbuka na matatizo haya ya kiafya kwani wanakula vyakula hivi vya chapuchap, yani anataka soda ya kuvuta muda ili baadae akale, tumeona ni jinsi gani sukari nyingi inashusha nguvu za kiume tena kwa kina Zaidi.
-Wengine huuliza sasa Dr mimi siwezi kabisa kujizuia kunywa soda hata masaa tu, ni kweli huwezi kujizuia kwa sababu tayari umeshakuwa ni mlevi wa sukari _(sugary addicted, sugary craving)_ vyote hivi unaweza kujizuia kwa kukutana na mshauri wa afya lishe atakupa maelekezo mazuri namna gani unaweza kukata sugar craving kiurahis kabisa.
-Kumbuka kiwango kimoja cha kichecheo kikivurugika vyote vinavurugika hivyo tunatakiwa kulinda sana kiwango cha insulin kuwa katika kiwango kizuri muda wote ili kufurahia ndoa.

2. _Kuepuka kabisa ulaji wa vyakula vya mafuta_

>>>Watu wengi sana huwa na fikra potofu kuwa chakula chochote cha mafuta ni kibaya, na hivyo hujizuia sana kula vyakula hivyo kwa kuogopa kunenepa,
hakuna adui mkubwa wa magonjwa yote kama *SUKARI* hivyo vyakula vya sukari ndio chanzo cha magonjwa mengi ya tabia ambayo ni magonjwa sugu hapa duniani, ndio chanzo cha uzito mkubwa kupita kiasi,kitambi,shinikizo la damu,kisukari,upungufu wa nguvu za kiume,uvimbe kwenye kizazi,mzunguko mbaya wa hedhi,ugumba,utasa nk hivyo basi “SIO MAFUTA YANAKUFANYA MGONJWA, BALI SUKARI NDIO INAKUFANYA UELEMEWE NA MAGONJWA”

3. _Nyama na vyakula vyote vya kusindika viwandani_

-Ulaji wa vyakula hivi sio ufahali katika familia yako, bali ni uzembe katika uandaaji chakula katika familia yako,
ukitaka uishi kwa bajeti kubwa katika familia yako, kula vyakula asili ambavyo babu zetu walikula enzi zile (EAT ORGANIC) ndio maana watu wengi hawapendi kula vyakula asili, wanatafuta vyakula vilivyo sindikwa kwani havina gharama kubwa.
-Unapokuwa upo jikoni unaandaa chakula chako kwa familia yako, unatakiwa ujiulize kwa nini vyakula hivi vya kusindika vina bei rahisi kiasi hiki?

-Ulaji wa vyakula hivi,siku zote huenda kuangamiza bakteria rafiki _{Normal flora}_ pia wengi hupendelea kuita _gut probiotics_ na unapokuwa umewaangamiza hawa ndio chanzo cha magonjwa yote,
-Unapokuwa umeangamiza hawa viumbe katika mfumo wa chakula kwa sababu ya vyakula ambavyo wao, hawavitambui, unakuwa ni mtu wakushambuliwa na maradhi nyemelezi yote na kudhoofisha ukuta wa mfumo wa chakula na hatimaye unaweza kuanza kupenyeza sumu (toxins), bakteria wabaya kama E. Coli, vyakula ambavyo havijameng’enywa vizuri na protini zingine kama gluten ambazo ni hatari kwa afya yako.
-Hivyo kama wewe umekuwa ukisumbuka na nguvu za kiume na umekuwa ni mlaji mzuri sana wa vyakula hivyo, hakikisha una viepuka kuwa mtu unayependa vyakula asili, vitarudisha uhalisia wa mfumo wako wako wa chakula kwa kuondoa tatizo la tumbo kujaa gesi na choo kuwa ngumu.

4. _Sumu mbali mbali kutoka kwenye mazingira_

>>>Watu wengi sana wanapokuwa wanazungumzia tatizo la nguvu za kiume wanasahau kuahusisha mahusiano yaliyopo kati ya upungufu wa nguvu za kiume na mazingira yako. -Najua kuwa tumekuwa tukijishughurisha na shughuli mbali mbali ambazo zinatufanya tugusane na sumu mbali mbali, mfano madini ya mercury ambayo sasa yapo kila kona katika biashara zetu, madini ya lead haya ni madini mazito na hatari sana kwenye kudhoofisha utendaji kazi wa mwili wako, kukuletea msongo wa muda mefu na mengine mengi ambayo yanapelekea kupoteza nguvu za kiume. Kwa dunia ya sasa ya viwanda huwezi kuziepuka sumu kama hizi mwilini mwako, ni jukumu lako kuhakikisha unajijengea mazoea ya kuondoa sumu nzito hizi na mionzi mbali mbali katika mwili wako na hatimaye kuimarisha afya yako.

>>> _Najua umejifunza kwa nini sasa una upungufu wa nguvu za kiume au huna kabisa nguvu za kiume basi jifunze jinsi gani unaweza kuhakikisha unaondokana na tatizo hili na ukafurahia ndoa yako na mahusiano yako kuanzia sasa_

*NJIA 7 ZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME*

1.
>>>Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika, vyenye vionjo vya sukari,rangi na radha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume. Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa,matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asilia.

2.
>>>Epuka pombe katika maisha yako yote kwani tafiti zinaonesha kwamba pombe inakupa hamu au shauku ya kufanya tendo la ndoa lakini inakunyima uwezo wa kufanya tendo la ndoa!
-pombe pia ni chanzo cha msongo wa mawazo na kukupelekea kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa

3.
>>>Fanya mazoezi ya kutosha. Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbali mbali kama vile ubongo,ini,figo ambazo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katika uhalisia wake.
-Hivyo basi magonjwa mengi ya mzunguko wa damu ni pamoja na nguvu za kiume kwani kama hufanyi mazoezi mwili wako unadhofika na kukosa uwezo wa kuhimili ndoa yako pia inapunguza nguvu za kiume.
-Mazoezi huimarisha mwili wako na kuweka mbali mwili wako na maradhi mbalimbali yanayo sababishwa na uzembe katika mazoezi, usisumbuke kufanya mazoezi yenye kuumiza sana mwili.

4.
>>>Rudisha Virutubisho ambavyo vimepotea mwilini mwako

-Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi kama zinki,chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi, kwani madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.

-Unaweza kupata madini haya yote kutoka kwenye mboga za majani kama wewe ni mvivu basi unaweza kunywa juice inayotokana na mboga mboga kama kabeji,spinachi, nk.
-Kwa wale ambao ni kaz sana kuhimili zoezi hilo unaweza kujipatia kirutubisho hicho kwakutuuliza kwan kina madini yote hayo.

5.
>>>Ondoa mafuta mabaya ambayo yanapunguza utendaji kazi wa mzunguko wa damu, unaweza kuondoa kolestero mbaya mwilini mwako kwa kutumia mafuta ya omega 3 ambayo unaweza kula vyakula vyenye mafuta haya kama samaki kwa wingi, flaxseeds, blackseeds ni baadhi ya vyakula ambavyo vimekuwa vikionekana kwenye nukuu za habari kuwa ni vyakula vyenye uwezo mkubwa wa kusafisha mafuta mabaya mwilini mwako. -Unaweza pia kuwasiliana nasi clinic kwetu kama utahitaji mafuta haya yaliyotengenezwa kitalamu utayapata na yatakusaidia.

6.
>>>Ondoa Sumu kwa kutumia viondoa sumu.
-Kuna sumu aina kuu tatu ambazo ni;

i}-Sumu ambayo inatokana na mabaki ya hewa ya oksijeni yani _Free radicals_ ambayo ni moja wapo inaweza kuumiza seli za mwili wako na kusababisha seli zako kubadili mtazamo wa ukuaji na kuendelea kuzalishwa seli mbovu na hatimaye zinaweza kupelekea hata kupata kansa.

ii}-Sumu ambazo tunazipata kutoka katika mazingira yetu ya kazi kwa kukutana na metali nzito kama lead, na mercury ambazo ni kizuizi kikubwa sana katika utendaji wa mwili wako, pia sumu inayotokana na mionzi mbalimbali inayotokana na kuchokozwa kwa miamba ya ardhi ( Earth’s crust)

iii}-Sumu inayotokana na vyakula tunavyokula ambavyo huenda na kuathiri mfumo wako wa chakula na hatimaye kuharibu ulizi wa mwili wako katika mfumo wa chakula. Afya yako huanzia katika mfumo wa chakula na magonjwa yote huanzia katika mfumo wa chakula.

-Unaweza kuondoa sumu hizo kutokana na visababishi vyake kama nilivyo eleza.

*USHAURI*

-Tumia package ya siku 30 ambayo itakusaidia kama wengine *SEX DRIVE ENHANCING PACKAGE* ambayo itakuondolea sumu zote za _free radicals_ na metali nzito za aina zote na kurudisha utendaji kazi wa mwili wako na kurudisha nguvu za kiume.

-Kwa wale ambao umri kidogo umeenda hawawezi kufanya mazoezi vizuri unaweza ukapiga simu kwa msaada zaidi.

*VYAKULA HIVI VITAKUSAIDIA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME _(TESTOSTERONE)_ NA KUKINGA DHIDI YA MATATZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME.*

1.
KOMAMANGA _(POMEGRANATE)_
Tunda hili zuri lenye rangi nyekundu likiwa limeiva limekuwa likitumika kama dawa kwa karne nyingi sana.
-Kutokana na uwezo wake mkubwa kama kiondoa sumu _(antioxidant)_, pia upatikanaji wa vitamini A,C, E na madini ya chuma, tafiti za kisayansi zinasema kuwa unywaji wa glass 1 ya juisi kwa siku itokanayo na matunda haya inaongeza kwa asilimia 16 mpaka 30 ya hamasa ya tendo la ndoa.
-Lakini pia inashauriwa zaidi kula tunda lenyewe ili kwanza kufaidi nyuzinyuzi _(fiber)_ ambazo zina umuhimu kiafya pia itakusaidia kutokula kiwango kikubwa cha sukari kilichopo kwenye matunda.

2.
_MAFUTA YA MIZEITUNI_
Mafuta ya mizeituni yana uwezo mkubwa sana wa kuongeza kiwango cha kichocheo cha _Testesterone_ kinachozalishwa na mwili. Tafiti zinasema watu wanaotumia mafuta ya mizeituni kila siku,kiwango cha _testosterone_ huongezeka kwa asilimia 17 mpaka 19 ndani ya week moja.

3.
_NAZI_
Mwili unahitaji mafuta mazuri ili kutengeneza vichocheo vingi, ikiwemo kichocheo cha _testosterone._
-Nazi zinasaidia mwili kutengeneza mafuta mazuri ambayo yanahitajika na mwili, pia mafuta yanayopatikana kwenye nazi husaidia mwili kuwa na uzito mzuri na pia kupunguza mafuta mabaya yasiyohitajika na mwili na hivyo utagundua kuwa kurekebishwa kwa uzito wa mwili basi kunasaidia uzalishaji wa kichocheo cha kiume na utakubali kuwa uzito mkubwa ni chanzo cha tatzo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa kichocheo cha kiume.

4.
_MBOGA ZA MAJANI_
Mboga za broccoli na cauliflower zinasaidia mwili wa binadamu kutoa kiwango cha kichocheo cha estrogen kilichozidi ndani ya mwili na hivyo kuongeza kiwango cha _testosterone_ ndani ya seli

5.
_PROTINI ITOKANAYO NA MAZIWA_
Protini hii ambayo hupatikana kwenye sehemu ya maji ya maziwa inazuia mwili kutengeneza kias kikukwa cha kichocheo cha cortisol na hivyo kuongeza uzalishwaji na ufanyaji kazi wa kichocheo cha _Testosterone_, hapa ieleweke kwamba vichocheo hivi viwili huwa vinapishana moja kikiwa kingi kwenye damu basi kingine huwepo kwa kias kidogo kwenye damu.

0658521921 /0624073681
Kileoseif@gmail.com
 
Somo zuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom