Wabunge Uganda kuondoa umri wa kuwania urais

Kileo seif

Member
Apr 13, 2013
57
26

Wabunge kutoka chama kinachotawala nchini Uganda NRM wamekubaliana kuwasilisha mswada ambao unapendekeza kuondewa miaka ya kuwania urais nchini Uganda.

Ikiwa watafaulu mswada huo utamwezesha Rais Yoweri Museveni ambaye anaaminika kuwa mwenye umri wa miaka 73, kuwania tena uchaguzi wa mwaka 2021.

Amekuwa madarakani tangu mwaka 1986 na kwa sasa anahudumu muhula wake wa tano madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madictator wengi huogopa kuondoka marakani, wakiogopa matendo yao na kitachofuatia. Hata sie tusije kumbwa na hilo maana kwa mwenendo huu sijui
 
Nahisi ifikapo 2020 hili litatuhusu na hapa nyumbani japo litakua kwa style nyengine
 
Back
Top Bottom