Recent content by Kilaza

  1. K

    SI KWELI Wakili Mwabukusi na Mdude hawajulikani walipo, leo Agosti 28, 2023

    Anaandika Emmanuel Masonga (Katibu wa CHADEMA kanda ya Kati) Baada ya Mdude_Nyagali Kutoa taarifa za Kufuatiliwa akiwa na wakili kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na Haijulikani walipo. Tumefanya mawasiliano na Watu wa ARUSHA waliokuwa nao Mahakamani kucheki...
  2. K

    Anahitajika Dereva Bajaji Arusha

    Hata Mimi naona
  3. K

    Anahitajika Dereva Bajaji Arusha

    Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba 1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) 2)...
  4. K

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Mkuu nahitaji kuanza hii biashara huku Mkoani tunaweza kuonana ukanipa mawili matatu? Nitashukuru
  5. K

    Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

    Hivi wakuu nyie mna Kazi kweli? Maana matangazo yenu Ni 5 years 10 years experience mtu mwenye 10 years experience huku jamii forums anashinda kutafuta Kazi kweli? Ndio maana Watu wanawaita matapeli
  6. K

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

    Manyara Sehemu Gani? Na wanauzaje?
  7. K

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    nipitie mkuu hapa kimara
  8. K

    Lowassa akutana na Wafanyabiashara wa Kariakoo na Makundi mbalimbali, Msimbazi centre Dar

    Kesho 28/8/2015 Mh Lowasa atakutana na machinga, Bodaboda na mama lishe na wafanyabiashara wote wa Kariakoo, Ukumbi wa Msimbazi Centre Jiji Dar, fika bila kukosa. =========================== Updates: 28/08/2015
  9. K

    Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

    mbona gazeti halijaweka picha???
  10. K

    Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Geita atekwa

    ujinga kipaji
  11. K

    Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Geita atekwa

    kamanda HUSNA NI MWENYEKITI WA BAWACHA MKOA Wa GEITA INASADIKIKA KUWA ALITEKWA Juzi AKIWA ATATOKEA KATIKA HARAKATI HUKO JIMBONI NYANG`WALE KURUDI GEITA MJINI NA INASEMEKANA KABLA YA SIM YAKE KUZIMWA( KUZIMIKA) ALIMPIGIA MOJA YA VIONGOZI WEZAKE WA MKOA NA AKASIKIKA AKILIA KWA KUTAJA...
  12. K

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Hakikisheni Masele hapiti bila kupingwa.
  13. K

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu zake za ubunge. Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani. Nimeongea pia na Mbunge...
  14. K

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    mwanamke awaongoze wamasai unakichaa wewe
Back
Top Bottom