Recent content by kilaza mwenzangu

  1. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Nadhani hujui majukumu ya vikosi vya sadec Drc. Amini hilo ni debe tupu au kama mupohapa kufurahisha baraza sawa
  2. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Ukiona mtu anajiongelesha sana huku akijisifia,jua ni debe tupu
  3. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

    Watu wengi niwapiga kelele tu lakini vichwani hamza kitu,inamaana hata kukumbuka uchaguzi wa 2020 hamkumbuki! Niwakumbushe tu serikali ilikataa kuchukuwa hela kutoka kwa wahisani kwaajili yauchagu
  4. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

    Ukiwa na umli wa ujana huwezi kuelewa unachoelekezwa kikiwa kinapingana namisimamo yako hata kama misimamo yako niyakimwehu. Ila ukikuwa utamulewa
  5. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi hakuna ugaidi wa kujitoa muhanga Middle East?

    Ukiwa na mtizamo wa upande mmoja huwezi Pata jibu,ila ukitaka kutafuta jibu halisi utalipata.maana iko wazi hiyo miaka unayosema hao hammas hawakuwa hata na uwezo wakuua mwanajeshi mmoja wa Israel,lakini sasahivi waulize waesrael wakupe takwimu za vifo kutoka 7/10/2023 hadi leo.kwahiyo utaona...
  6. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

    Naunga mkono hoja. Kukaa hospitali masaa mengi ni uzembe tu wa madaktari na wauguzi,nenda pale hospitali kuu ya iringa homa ya kawaida tu! Lakini utamaliza siku nnzima pale
  7. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Mke huna,mtoto wa miaka 8 akitumwa kuchelewa ni kawaida,umli huo Kila sehemu anayopita yeye ni lazina acheze kwanza ndio aendelee na safari aliyotumwa.na huyo mkeo siku akimtuma mtoto alafu akapoteza hela aliyompa kuendea labda dukani fahamu huyo mke atauwa mtoto.ushauri wangu tafuta mke hapo...
  8. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

    Wewe mleda mada na wanaokuunga mkono ni wazi mnachuki na waarabu na si vinginevyo,uwekezaji ktk madini wametawala wazungu lakini ktk mifano yako umeishia kulalamikia sehemu walizowekeza waarabu tu na kusema waneuziwa.acha chuki binafsi kwanza nawe utaupenda tu mpira hasa huu wa Tanzania unaokuwa...
  9. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 31, 2024: Rais Samia aunda Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms)

    Watanzania wengi maneno maneno tu na kujifanya wajuaji na kejeri hata katika mambo ya msingi wao hawazingatii,ila wao wanaangalia kachaguliwa Nani ktk uteuzi huo nazaidi hawaangalii uwezo wa aliechaguliwa,bali wanaangalia wadini gani au waupande gani.ktk hii tume ilikuwa ni swala lamuda...
  10. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mawakala kutolipwa kamisheni

    Umeambiwa zaini ni m pesa
  11. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Vitengo karibu vyote jeshini ni vigumu,ila ukommando inawezekana ukaiona ni ngumu zaidi,sababu nikitengo kinachohusisha mapambano ya mwili zaidi kuliko silaha.iko hivi inapotokea kuna vita alafu kuna sehemu inawasumbua zaidi yaani inawashambulia sana basi ufumbuzi ndio wanatumika asikari wa...
  12. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Nicheo chakisiasa inawezeka,ila mikakati ya vita inamuhusu mnadhimu mkuu
  13. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Usiyoyafahamu kuhusu utoko (normal vaginal discharge)

    Wenye ndoa ndio tunafahamu vizuri. Kwakiasi flani wewe upo sahihi na mtoa mada yupo sahihi kiasi flani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kimarekani ya kivita M240 Bor m240 l

    Weka na bei yake basi ndugu.nnchi inahela hii tuziagize kama 1000
  15. kilaza mwenzangu

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kampuni ya Leopard Tours afia porini akiendesha wageni

    Siku yakufa hata uwe umezungukwa na madaktar bigwa m1 haisaidii
Back
Top Bottom