Recent content by kilasendo

  1. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

    Kaa chini urekebishe mapema panapo vuja, Bado ni mapema sana Majukumu yapo Vaa saikolojia kuyakabili......hayakimbiwi
  2. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninajikuta namchukia mke wangu

    Anafanya hayo yote sababu hujafunga bae ndoa(sogea tuishi)
  3. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkubalie mmoja akuoe[emoji3]
  4. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi huyu Demu

    Akirudi tena na wewe kuwa busy.... Ila jitahid umjue vizuri kazi yake, mazingira yake etc
  5. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

    Pengine huyo mama alikuwa na shida/changamoto ya kiafya Kwa siku hiyo... Me Kuna siku nmeenda nae, akapata changamoto fulani, ikabid nimwache parking nikaenda kufanya manunuzi yote... Kwa mtu ambae hajui anaweza Lete story kama hvyo
  6. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

    Mpeleke Kwa kiongozi wa Imani sawaaawa na dini yake apate Maombi au Dua...Kuna mengi huenda yapo nyuma ya pazia
  7. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tunapenda sana Wanawake weupe

    Kila kitu kizuri kina rangi hiyo
  8. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Ndoa na iheshimiwe na watu wote
  9. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi ndoa

    Maisha ya ndoa ni ibaada, ukiona mwanamke ataleta za kuleta baadae kwenye maisha piga chini Chukua anayefaa, kuepuka matatizo mbeleni
  10. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi sababu za upendo kutoweka kwa wanandoa siku chache baada ya harusi?

    Wanandoa wengi wanakuwa na matarajio makubwa sana kwenye ndoa mfano fedha, mazingira ya nyumbani, furaha, kupata mapenzi mda wote etc etc..... Mambo yanapokuwa tofauti na matarajio ndio Ile furaha na mbwembwe nyingine huanza kupotea
  11. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

    Kinapatikana free
  12. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

    Ameandika pia kitabu kingine thing's I wish I'd known before I got Marriage, kaandika mambo mengi Sana
  13. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

    Kuna kitabu kizuri sana natamani ukisome Mkuu na wengine wakisome pia...atakayeweza kushare akiweke tafadhali Things I wish I'd known before we get Marriage by Gary Chapman
  14. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua "ku-move on" ila mzimu wake unajitahidi kunirudisha nyuma

    Kwa mweke karibu Kwa mda mfupi, malizia hasira zako sepa...hatakusumbua tena
  15. kilasendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

    Mapishi ya merahisishwa sana saa hv.. Vifaa vingi vya kupikia vinapatikana Kila mahali, rice cooker, pressure cooker etc anafuata tu maelekezo chakula tayari.. Pia Kuna Kila aina ya mapishi YouTube, akiwa na Nia ya kujifunza hamna kinachoshindikana
Back
Top Bottom