min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,068
- 126,689
“ghafla akanitafuta akaniambia sorry nilikuwa busy sanaa na issue za ukaguzi”



“ghafla akanitafuta akaniambia sorry nilikuwa busy sanaa na issue za ukaguzi”



Umechangia vizuri sana ..ila aya yako ya pili toka mwisho kabla ya swali la unakazi ?Tambua thamani yako yakuwa wew n mtu muhimu sana, kuwa naye n kuendlea kupoteza thamani yako. Mwanamke akupendaye kwa dhati #Hawezi kuwa busY, trust me. Kuachana nae n kujiheshimu na kutambua thamani yako.
"Penda kuomba ushauri kwenye mambo magum kias kwamba hata mshauri ashindwe kujua anaanzia wap na sio kwenye jambo kama hili"
Any way unafanya kaz??


Well... Ila kama umeosoma vzr huo uzi, ndipo utakapo gundua yakuwa bwana mdogo hyupo seriously. Trust me!Umechangia vizuri sana ..ila aya yako ya pili toka mwisho kabla ya swali la unakazi ?
Tambua unalo liona kwako rahisi basi kuna mwingine kwake ni gumu na vise versa sp usidharau anayekuomba ishauri
Angempenda ingekuaje kwani embu mueleze kwa ufupi akili yake ifunguke.Oyaa huyo hajakupenda bwana
Mpe link ya ule uzi wako wa kula tunda kimasihara I guess utamsaidia kwa kiasi flani hivikuna jamaa ake anaempendaa nae jamaa anamzingua hivyo hivyo so demu anakuwa haelewekii...mvumilie si ndo huyo huyo unae pole