mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Asante mkuuHuyu ni kama wenzie wengi anaoa ili apate mtu wa kumpikia na kumfulia nguo.
Na ile fashion kwamba wenzangu wa umri wangu wote wameshaoa.
Sio rahisi ukaoa/ukaolewa na mtu unayempenda halafu baada ya miaka miwili ukamchukia completely.
Pamoja na kero nyingi za wenza wetu lakini penzi kufa kabisa sio rahisi kwa muda mfupi hivyo.
Huyu karogwa na mchepuko, au ushamba wake tu hajui kuhandle michepuko anazama mzima mzima bila kufikiria madhara yake.
Mwambie sasa achukue huyo mchepuko awe mke wake utaona anarudi baada ya miaka miwili atakwambia afadhali ya mke wake aliyemwacha na anataka kumrudia.
Mapenzi haya nyoko sana.