Huo ni uongooo 🤣🤣🤣🤣😅😅 wanawake weupe OG.. mzee gheto huna haja ya kuwashaa taaa.
Ukute mweupe alafu ana shape na tule tumi chili twa utamu.
Utamu wake uki mkanda vizuri rangi yake ndio inakuwa nzuri zaid na zaidi..
sema kama mwanaume , unatakiwa kuwa na aina zote.. kama chakula huwezi kula siku nguna.. unatakiwa kuwa na rangi zote na shape zote na nywele zote.. kuna siku unakuata hisia na mwenye nywele ndefu kuna siku unakuta unataka mwenye cut flani hivi.. inabidi iwe na aina zote tuu 😅😅Huo ni uongooo 🤣🤣🤣🤣
Sema sisi wasukuma,acha kuzingizia wanaume wotewanawake weupe, wenye tako, macho makubwa na pua ndefu.
Nyie sio watu nyie ni Malaika aisee.
coca mtoto mweupeee😋 mtamu kama ice creamCute Wife uduguuu njoo hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kama weupe wa kujichubua sawa.Tatizo wanawake weupe wanabaridi sana.
Yani ni baridi kweli kweli, sijui shida iko wapi
Wewe na nani?wanawake weupe, wenye tako, macho makubwa na pua ndefu.
Nyie sio watu nyie ni Malaika aisee.
Itakuaje mkuu?Nyeupe ni necessive,
Kama unafuga kuku wa kienyeji chukua kifaranga cheusi cha jike mmoja mpe mwingine then chukua kifaranga cheupe cha jike mmoja mpe mwingine.
Halafu matokeo yatajibu swali lako.
Kuku hudonoa vifaranga vya kuku mwingine ukimwekea, anaweza hata kuviua. Ila ukimpa kifaranga cheupe hakidonoi atakilea kama chake.Itakuaje mkuu?
Ila kuku weusi wana nyama tamu na wana taga mayai mengi mkuu, ngoja hilo zoezi nitalijaribu.Kuku hudonoa vifaranga vya kuku mwingine ukimwekea, anaweza hata kuviua. Ila ukimpa kifaranga cheupe hakidonoi atakilea kama chake.
Hili jaribio nimelifanya Mimi mwenyewe.