Recent content by Kila Mbongo

  1. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

    Haukuwa na access ya magazeti tu au ulikuwa mdogo ila picha ilisambaa Sana
  2. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Mtwara; Hotel ambayo mwaka 1 uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja 3 tu

    Naona ni wapya...nafikiri imechukuliwa na Kanisa.
  3. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Ukizeeka unataka kuwa nani?

    Nataka kuwa mzee wa mjini yaani....nahakikisha uzeeni nakuwa na mishe mishe kama Koffi Olomide ila cha msingi niwe na hela tu za kutimiza mahitaji yangu sio kuomba omba ndugu.
  4. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania French learning thread

    Wapi naweza kujifunza Kifaransa kwa Dar tofauti na Alliance Francais?
  5. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

    "Nani kama mama"Yaani kumuona mama ni Bora kuliko baba ni ufala wa hali ya juu mnooo!
  6. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Japani ndio nchi pekee wazee wanapenda kuwa nzengo kuliko afrika wawe kama watawala

    Kwa hiyo una uhakika ujumbe wako umeeleweka kabisa yaani!
  7. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Tulipata taarifa kuwa alikamatwa sehemu tu na polisi na akaenda kuuwawa ...wanasema polisi huwa wanafanya hivi pale unapokuwa mhalifu sugu ingawa wanakosa ushahidi wa kukupeleka mahakamani.
  8. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Nitajie herufi ya kwanza ya jina lake maarufu kama kweli unamjua mkuu.
  9. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Tuliwahi kuishi na jamaa mitaa ya Mwananyamala Komakoma miaka ya 2000's.Jamaa alikuwa mpole sana kumbe jambazi mkubwa sana na alikuja kuuawa baada ya kukamatwa na polisi.
  10. Kila Mbongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya mapenzi mchana ofsini kwako?

    Daaaa!
  11. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Aisee mbona mambo ni mazito sana!
  12. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    TA ndio wapi mkuu?
  13. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania UTT Amis mnafeli sana na online services zenu.

    Yaani hao ukiwapigia simu ndio utakesha kupokelewa!
  14. Kila Mbongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu hawa FIC ni mchongo au ni Ponzi (utafiti wangu mdogo)

    Kuna nini mkuu?Naomba utoe maelezo zaidi.
Back
Top Bottom