Recent content by kikwandaga

  1. K

    Napinga vikali ushindi Diamond MTVEMA, Ni hujuma dhidi ya Sanaa ya Mwafrika

    amechukua best world wode act vipi upewe ndimu au malimao,hahahaha kama hutumii jaribu mbimbi na ukwaju
  2. K

    Mambo sita (6) yanayothibitisha ya kuwa mungu hayupo tena upande wa CCM

    Binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa nchini ila kwa jinsi nionavyo bado ccm ina nguvu za kutosha tu kuongoza nchi hii kwa miaka mingi ijayo hii inatokana na vyama vya upinzani kuwa na viongozi wenye ubinafsi na uchu wa madaraka ambao unaonekana dhahiri,labda tukumbushane sifa za...
  3. K

    Je unaamini Bila Wema Sepetu Diamond asingefika hapa kimuziki?

    Labda watu hawafahamu nini maana ya msanii wa muziki ila kiukweli wema alishatembea na mr blue,tid,kanumba na hao wote walikuwa mastaa kabla je wema aliwapandisha kivipi?unajua binafsi nachukia kukuta mtanzania anashindwa kufikiri vizuri,kiukweli tukiacha ubishi jamaa ni miongoni mwa wanamuziki...
  4. K

    Siombi tena kazi uhamiaji

    sasa kaka hivi watu 64000 elfu mlioomba muitwe wote kweli,watanzania acheni lawama za kijinga,givi ungechaguliwa wewe na wenzio wangelalamika hivyo hivyo omba sehemu nyingine utapata elimu haiozi
  5. K

    Lady JayDee na jini mahaba!

    Hizo night bangi pelekeni ktk jukwaa last doini
  6. K

    Loan defaulters mlioajiriwa mmekwisha!!

    Nilikuwa nafuatilia muda mrefu kuhusu huu mgomo wa madaktari ila nimegundua kwamba selikali yetu haina kabisa mapenzi na sisi .
  7. K

    Kujiuza

    ni maisha tu wakuu
Back
Top Bottom