Habari wana Jamii, Kwa kifupi nimeanza kufuga Kuku wa Mayai (Layers) ni mgeni kabisa katika suala la ufugaji kuku wangu kwa sasa wana wiki 10 ila kuna Kuku kama 20 kati ya 300 wanatoa machozi hatari, watalaam wanasema ni mafua nimetumia dawa zoote nazopewa na wataalam hakuna chochote.
Kwa...
nimesahu kuuliza wazazi wako walichaguliana au walipendana hilo ni la msingi kuwauliza. kama baba alitafutiwa mzigo ujue mmekwishneeeeeeeeee lol jamani bado kuna mambo ya kijinga namna hii kwenye hii dunia unauliza eti kabila?.... halafu haujasema we kabila gani ningekusaidia kidogo
ha ha ha ha ha kwanza kabisa wewe unasema umeona wanaume walioa wachaga ndoa zao hazikukaa vyema ulichunguza tatizo ni nini hapo? au ulikurupuka tu? kwanza uelewe ukioa mchaga hutakiwi uwe lege lege ni maendeleo mtindo mmoja na pia hakuna habari za kimajungu majungu kama hilo kabila lako pia...
mbona mnabishana kwenye vitu ambavyo havina msingi? kinondoni mara mbagala sasa mlikuwa mnataka watu wasiinvest huko? na kwanza utawezaje kupasifia sehemu ambayo hata wewe haikusaidii zaidi ya kwenda kupunguza income yako na kushindwa kujenga na kuendelea kukaa kwa shemeji mwanaume aliemuoa dada...
Hey doctors na wanajamii mi ni mwanafunzi wa chuo nasomea mba ila tatizo langu kila nikiwa darasani au najisomea natokwa na miayo sana tatizo ni nini? Ila nikiwa katika sehemu nyingine hata kama ni usiku vipi hili tatizo halijitokezi ila ikiwa kwenye masomo tu ni tatizo please naomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.