Mwenyewe yuko kwenye kusali usiku akiamini mpenzi wake anapata majaribu ya shetani ataenda kwa mwanamke asiyemthamini! Eti najua hasira zikimuisha atatafakar na kujua kosa lake loooo mahaba niue hiio
Mwanaume alimwambia kushika simu yangu kumpigia mtu na kutext inamaanisha mimi ndo nimetuma na umemtishia maisha ni kosa kisheria! Ni hatar hata kwa maisha yangu hahaaaah sijui anadate na mwanasheria
Dunia haiishi visa,
Week iliyopita ni dada mmoja yalimkuta,
Ana mpenzi wake waliahidiana mengi ikiwemo kuoana. Dada anafanya kazi na mkaka japo ni 35 ukaka unakaribia kuisha anajiendeleza kimasomo.
Dada huyo anadai kila wakikaa pamoja na mpenzi wake kuna simu inaingia lakini mkaka hapokei...
Baba yangu ni mpole nampongeza kwakuwa pamoja na mambo ya mama na mashoga zake alikuwa ananigomneza tu ila ada analipa hakuwahi kunionyesha kutonipenda.
Maisha haya hayana mwenyewe,
Nilikuwa mtu mwenye kujiheshimu sana, kuwashauri watu juu ya matendo mema, niliishi nakujitahidi kuwa mfano wa kuigwa lakini sasa mambo yamegeuka.
Tangu utoto na ujana umenifikia sijawahi kuwaza na kunywa pombe ila sasa nakunywa tena kunywa kweli usiku hadi nilewe...
Heri ya x mass wote.
Habari za mtifuano ndani ya shirikisho la vyuo vya elimu ya juu mkoani kilimanjaro (CCM) za vuja,
Kama mnakumbuka katibu mkuu wa shirikisho(ccm) DANIEL ZENDA akiongozana na hamasa taifa,Kaimu mwenyekiti taifa alifanya ziara ya kikazi mkoani hapo na blog moja iliripot ziara...
ushasema matusi! hiyo tabia sio! hao kina mange, wema n.k ambao hawafai kufuatiliwa na watu wenye akili timamu mwanaume umewa follow halafu kila post unasoma comment by comment uchambue tusi na lisilo tusi bado ujione uko sawa nawewe utakuwa mbeya zaidi ya huyo alopost. utakuta mtu naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.