Kuwa na wapenzi wawili ni sawa?

Kuwa na wapenzi wawili ni sawa?

Huyo dada atulie tu, huyo hakumpenda na inaonekana huyo mpya nfo kapendwa zaidi.
 
Kuwa na wapenzi wawili ni sawa? .....wapenzi sio sawa ila wake hata wanne haina shida!!
 
Ni kosa kubwa mno mwanaume kupangiwa cha kufanya na mwanamke. Huyo jamaa yuko sahihi sana; kwa nini upangiwe na mwanamke, tena hujamuoa! Huyo binti anastahili hiyo adhabu.
 
Ukiona unaibiwa ujue hapo awali ma wewe ulikuwa mwizi...
 
Cha kwanza kushika cm ya mpenzi wako bila idhini yake ni kosa, unapekua pekua cm ya mwenzako ili iweje?

Pili kwa siku hizi kama hujaoa kuwa na mpenzi mmoja tu ni kazi na risk kubwa ya kupata stress+ magonjwa ya moyo. Yaani unakuta umezama kwa mmoja then anakushtukiza kuanzia Leo mm na ww mwisho ukicheki hakuna wa kukupoza machungu matokeo yake vijana wanaishia kujinyonga ama kuathirika kisaikolojia

Kwa mantiki hiyo ukiwa kwenye mahusiano ya kileo ni bora ukawa mguu mmoja ndani mwingine nje huku ukisoma ramani. Akizingua mmoja unamwambia kiroho safi hamna shida mumy anaenda kwa wa pili mpaka mwenyewe atashangaa hubabaiki kama mabavyo alitarajia iwe.
 
Huyo mdada alichofanya ni mtu yeyote angefanya kuhakikisha penzi lake ni lake pekee, hajakosea hata kidogo.

Huyo jamaa ni mjinga kama wajinga wengine, kwakua watu tukishakua wapenzi kuna vitu havitakiwi kua vya kificho.
Mfano kujua paswed ya simu yangu, kuishika (siyo kuchunguza).
Mdada kashika simu kakuta mesej shit kachukua hatua ambazo mtu yeyote timamu angechukua, kisha unamuacha kisa kaonesha anataka uwe wake peke yake? Kumbavu mkubwa wewe.

Kuwa na wapenzi wawili siyo kawaida kabisa. Ni ushamba.
 
Unaombaje idhini ya kushika simu ya mpenzi wako? Ubaya ni kuipekua ila kuishika ishike hakuna tatizo, surf internet, soma habari za online haina shida.

Hebu wazia hivi, wewe na mtu wako kila mmoja ana hofu ya kuachwa hivyo anatafuta back up ya pembeni, kisha na huyo wa pembeni kwa kuhofia kuachwa na yeye anatafuta wa pembeni, na huyu wa pembeni kwa kuhofia kuachwa anatafuta tena wa pembeni and so on and so on.
Sijui unapata picha wazo lako litapelekea nini?

Achana na mguu kuwa ndani au nje, timiza kila ambacho unatarajiwa kutimiza kwenye uhusiano mengine yakitokea sawa yasipotokea pia sawa.
 
Dunia haiishi visa,
Week iliyopita ni dada mmoja yalimkuta,

Ana mpenzi wake waliahidiana mengi ikiwemo kuoana. Dada anafanya kazi na mkaka japo ni 35 ukaka unakaribia kuisha anajiendeleza kimasomo.

Dada huyo anadai kila wakikaa pamoja na mpenzi wake kuna simu inaingia lakini mkaka hapokei, mara kadhaa! Akimuuliza anajibu simple ni msumbufu tu achana naye atapiga akichoka ataachaga. Akija kulala ndo inapigwa hadi usiku wa manane.

Roho ikazidi kumuuma kama ilivyo kawaida ya mapenzi akajitosa akaenda kwa shemela akachukua simu ili akague kwakuwa alikuja gafla akakuta mambo mubashara!

Chat za kimahaba na mdada ndo anaonekana kakolea zaidi maana anatuma sms hata 15 kaka anajibu moja anamuomba shemela amruhusu aje kwake japo siku moja! Shemela akamuambia subiri ukiwa na mda mzuri jumamosi ili tufaidi vizuri weekend[emoji15] Hizo ni mbinu pia maana mpenzi wake yuko karibu. Hapo shemela alishamuaga dada wawatu kuwa ana safari ijumaa atarudi jumapili. Kumbe kuna kisafari alienda kufanya research zake ndo akakutana na huyo mdada mpya

Basi wivu+maumivu+ hasira akachukua simu ya mpenzi wake akachat na dada akijifanya ndo yule kaka na kumwambia nimeoa acha kunitafuta utavunja ndoa yangu na mke wangu keshashtuka! akamjibu ila hukunambia una mke.

Dada yule akachukua ile namba tena akaenda kumtafuta mwenzake nakumpa onyo kali aache kumsumbua mumewe kabla hajamfanyia jambo baya.

Kumbe kama kawaida kaka anamtafutaga usiku ndo akamuambia kanipigia simu mwanamke wakl na simu yako kaniambia nikiendelea kukutafuta ataniua!

Movie ikaisha hivi: mkaka akawa hapokei simu ya mpenzi wake tena, baada ya mdada kumpigia siku kadhaa akamtumia tu ujumbe mfupi Kuwa hawawezi kuendelea kuwa wapenzi kwakuwa amefanya kitendo kibaya sana kuchukua simu bila idhini yake akasoma sms, akafuta zingine, akamtishia mtu maisha bila kujua ni kosa kisheria[emoji2] [emoji2] na hii ni ishara mbaya kwani imemuumiza moyo sasa na hata baadae! Ukizingatia wao sio mke na mume ni wapenzi tu hakuna anayepaswa kuingilia simu ya mtu kiasi hicho.

Akajaribu kumuomba msamaha ili wayazungumze ila kaka kanyamaza kimya hahitaji mazungumzo na kafunga mjadala kihivyo.

Nikampa tu moyo kuwa avumilie yatapita tu, huku akiwa na shauku mpenzi wake apokee japo simu waongee yaishe kwani alimkanya huyo mwanamke kwa lengo la kulinda penzi lao ila mwenzake kapata sababu.

Nikasema nishare na wadau hivi mpenzi anaruhusiwa kucheat bila kuulizwa kisa hamjaoana?? Na ukikamatwa na mpenzi wako unacheat wewe ndo wakukasirika hadi jmuache wewe?

Huyo alikuwa kamchoka tuu jaman.
Kitendo cha mpenz wake kuanxisha mausiano mengine ni usalit tayar haijalish ni wapenz lakin mkidhaanzidha mapenz nafikir swala LA usalit halitakiw na kwa kua wamekua wakishea meng inaonekana jamaa kashamchoka na kama alimshika na mchepuko mwanaume anatakiwa kuomba msamaha na c kusitisha mahusiano na kwa ubabe huo alioutumia atamtesa sana maishani nafikir alikua anataka kumwacha hiyo kaipitia kama sababu, bint avumilie, atapata wakufanana nae mapenz yana visa ving sana nimpe pole mdada
 
Akili zetu wanaume tunazijua wenyewe kuna jamaa kamuacha dada wa watu kisa kaandika msg kwa herufi kubwa kasema hiyo ni dharau anamuona haoni vizur hadi kumuandikia kwa herufi kubwa!!
Teh Teh Teh mapenzi mubashara
 
Mapenzi haya ni tabu kwa muda mwingine watu wasiojielewa wanataka nn
 
Huyo mdada alichofanya ni mtu yeyote angefanya kuhakikisha penzi lake ni lake pekee, hajakosea hata kidogo.

Huyo jamaa ni mjinga kama wajinga wengine, kwakua watu tukishakua wapenzi kuna vitu havitakiwi kua vya kificho.
Mfano kujua paswed ya simu yangu, kuishika (siyo kuchunguza).
Mdada kashika simu kakuta mesej shit kachukua hatua ambazo mtu yeyote timamu angechukua, kisha unamuacha kisa kaonesha anataka uwe wake peke yake? Kumbavu mkubwa wewe.

Kuwa na wapenzi wawili siyo kawaida kabisa. Ni ushamba.
[emoji817] [emoji817] [emoji817]
 
Back
Top Bottom