Kuwa na wapenzi wawili ni sawa?

Kuwa na wapenzi wawili ni sawa?

mwambie mwenzio moyo mashine.aoge zaidi ya sasa alivyo kama hata hawajaoana basi ana nafasi ya kumpata mwingine atakaeona wa thamani.akitaka kulazimisha asubiri kujinyonga au kujitupa baharini huko zanzibar
 
Kama unajua una roho ndogo kama yangu Simu ya mwanaume unashika ya nn jamnnnn..as long as unachokitaka kwake unakipata,tatzo lipo wapi!!!
Tukome vihere here..

Mpe pole mwambie next time aache kugusa sim za wanaume.
Nimekupenda bure.
 
Kitendo cha mpenz wake kuanxisha mausiano mengine ni usalit tayar haijalish ni wapenz lakin mkidhaanzidha mapenz nafikir swala LA usalit halitakiw na kwa kua wamekua wakishea meng inaonekana jamaa kashamchoka na kama alimshika na mchepuko mwanaume anatakiwa kuomba msamaha na c kusitisha mahusiano na kwa ubabe huo alioutumia atamtesa sana maishani nafikir alikua anataka kumwacha hiyo kaipitia kama sababu, bint avumilie, atapata wakufanana nae mapenz yana visa ving sana nimpe pole mdada

Kwanza mi nilifikiri anamtania ila jamaa kakaza hapokei simu dada wawatu hajji ndo ntolee hivyo
 
Kwanza mi nilifikiri anamtania ila jamaa kakaza hapokei simu dada wawatu hajji ndo ntolee hivyo
Wanaume wako weng, atulie atafakar na afanyechaguo sahih c bora amegundua mapema je angemgundua kwenye ndoa c angesota sana hana mapenz nae achukue 50 zake atapata mwanaume anayejitambua na kama alikua anampenda kweli angejieleza anamchumba kwa mchepuko wake ila hakusema, huyo Dada asiwaze kuja kuomba msamaha warudiane mana najua lazima ataumizwa Mara mbili ajaribu kuuambia moyo wake usukume damu na c vingine
 
Mwanaume alimwambia kushika simu yangu kumpigia mtu na kutext inamaanisha mimi ndo nimetuma na umemtishia maisha ni kosa kisheria! Ni hatar hata kwa maisha yangu hahaaaah sijui anadate na mwanasheria
 
Mwanaume alimwambia kushika simu yangu kumpigia mtu na kutext inamaanisha mimi ndo nimetuma na umemtishia maisha ni kosa kisheria! Ni hatar hata kwa maisha yangu hahaaaah sijui anadate na mwanasheria
Hiyo mikwara tuu mana alijitambulisha kua mm ni MKE Wa Fulani mapenz yanauma endapo ukigundua msalit wako huyo Dada atafute penz salama wanaume hawafanani kitabia atapata sample yake
 
Hiyo mikwara tuu mana alijitambulisha kua mm ni MKE Wa Fulani mapenz yanauma endapo ukigundua msalit wako huyo Dada atafute penz salama wanaume hawafanani kitabia atapata sample yake

Mwenyewe yuko kwenye kusali usiku akiamini mpenzi wake anapata majaribu ya shetani ataenda kwa mwanamke asiyemthamini! Eti najua hasira zikimuisha atatafakar na kujua kosa lake loooo mahaba niue hiio
 
Alishamchoka alikuwa anatafuta sababu ya kumuacha tu
Ila hapo mi naona huyo Dada amezidi kiherehere MTU hajakuoa kwahiyo hapo angekuwa mpole huku anampetipeti jamaa wafunge ndoa
Sasa akishakuwa Wa halali ndio angefanya hivyo alivyofanya
Usisubutu kuolewa na mwanaume wa hivyo utajuta ndoa haitamaliza miaka miwili haijavunjika mwanaume Malaya hua habadiriki Kwenye ndoa atakuumiza mnooo hafai huwa mume hata wakulumangia
 
Back
Top Bottom