Recent content by kikonyoro

  1. kikonyoro

    Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

    Hakika ulikuwa mtu muhimu kama nguzo kama mlezi usiechoka kukiimarisha na kukivusha chama kwenye changamoto lukuki
  2. kikonyoro

    Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

    RIP Sabodo asante kwa malezi kwa chama chako makini
  3. kikonyoro

    Nyumba ya mtoto wa Mbowe yakamatwa tayari kupigwa mnada

    Haitauzwa ni kujaribu kulipeleka jambo kisiasa wakati hilo ni jambo la madai
  4. kikonyoro

    Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Hakuna adui wa kudumu hakuna rafiki wa kudumu
  5. kikonyoro

    PreGE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

    hana uwajibikaji wa pamoja atatuchelewesha sana kufikia kwenye maendeleo endelevu
  6. kikonyoro

    Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

    Nguvu ya soda asubiri ..jambo litamkuta
  7. kikonyoro

    PreGE2025 Waraka wa Mbunge Luhaga Mpina kwa Watanzania: Tumeonewa kiasi cha kutosha sasa tunataka Mapinduzi ili tusionewe tena

    Bongo nyoso..ukikosoa mfumo na kuelezea changamoto na jinsi ya kuzitatua wanakuona ni mpinzani wanakubagua Ukitumia akili yako bila kutumia unafiki na akili ya kushikiwa wanakupunguzia ulaji wanakutoa kwenye mfumo wao wa kidhalimu na kifisadi CCM inataka wazandiki , wahafidhina wenye itikadi...
  8. kikonyoro

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Hoja zizingatiwe ndugu zangu naona mashambulizi yanaenda kwa mleta uzi
  9. kikonyoro

    Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

    Hatupendi ugaidi kwa sababu ni hatari kwa uhai wa taifa na binadamu
  10. kikonyoro

    Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

    Haki inanguvu sana ngoja tuone mpaka mwisho
  11. kikonyoro

    Je, Netanyau anataka kufanya Mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza, Palestina!?

    Jerusalem jiji makao makuu ya nchi ya israel
  12. kikonyoro

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Kuimba kupokezana zamu yao ya kuitikia tutasikia vilio.
  13. kikonyoro

    Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

    katiba inahitajika mapema sana kabla ya izo ratiba walizoziweka watawala yaani hatuna haja ya kusubiri . maana wao hawaitaki sisi wananchi tunaitaka
Back
Top Bottom