Recent content by kikono

  1. K

    CHADEMA kimelewa kuwa tu chama kikuu cha upinzani tukikipa uchama tawala kitazima kabisa

    Yaani mtoa uzi umeniacha hoi. Hivi ni kweli huoni jinsi Wabunge wa Upinzani hususan CHADEMA wanavyotetea wananchi?suala la ajira, elimu , ardhi na mengine mengi? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ,,,,!!!!
  2. K

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni mizigo isiyobebeka

    Pole weee. Nadhani huwajui wabunge wa CHADEMA wewe. Wote ni majembe mbaya labda Mr Shibs tu. Wapeni moyo na kosoeni kihalali.mimi nawapongeza. Sana ushahidi ni chaguzi za serikali za mitaa
  3. K

    Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

    Haha ha kwani wewe hujui wakaskazini ndio wakali wa vichwa???historia iko wazi kumbuka walipoenda UN kudai Uhuru Mangi Marealle alishauri nini?????pili angalia takwimu za shule kimkoa Kabla ya uanzishwaji wa shule za kata. Mwisho chukua takwimu za wanafunzi bora Tanzania kidato cha nne na Sita...
  4. K

    Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

    Mi Mwenyewe Niko Tayari Kwenda Msituni Hata Kesho Hongera sana mdogo wangu Halima . Tunakuunga mkono tuko pamoja. Nimaamini safu yako hasa katibu Mkuu atafanya kazi vizuri. Nia isiwe ubunge wa viti maalum bali kuwafikia Wanawake wengi na hivyo uhakika wa kushika dola. Mbarikiwe na Mungu.
  5. K

    Kama hujui ugumu wa kutetea uongo muulize Lukuvi!

    Duh wakuu leo wakali waTume wakiongozwa n'a Jaji Warioba , Salim Ahmed Salim n'a Polepole, Palamagamba , Butiku watakuwa live Ubungo. Blue Pearl Hôtel. Mdahalo utarushwa live ITV. Msikose
  6. K

    James Mbatia huna shukrani

    Kumbe ukiteuliwa ni lazima ufuate ya mteul???? Majanga.. kumbe ndio maana kina Mwakyembe wamebadilika hivyo baada ya uteuzi?? Huu ndo USALITI
  7. K

    CV ya William Lukuvi

    Lipumba ni kichwa wacha maana record yake ya kupata A zote katika mtihani wake wa mwisho alipomaliza first Degree 1976 UDSM haijavunjwa!!!halafu inamlinganisha na mwalimu wa UPE??????
  8. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Hata mimi nimemshsngaa eti ni Dr halafu na mkewe mbunge Lolensia wa Jimbo la Busanda!!JK nomaaaa yaani we acha tu kaamua kuongezea kura za CCM na si uwezo
  9. K

    Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

    This is nonsense BRN at work. You are wondering 43 points been division IV, how about 47point??it's also division IV!!!!!!This means having six Fs and one E you passed , really??Our leaders where are we taking our education, our children????Please have mercy to this nation, I beg you
  10. K

    Nyalandu: Ripoti ya Lembeli uongo mtupu

    Watu wengine bwana kwa upotoshaji hawajambo. Mh Omary Nundu hajawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara. Alikuwa Mh Cyrill Chami
  11. K

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Kwanza hakuna nchi inaitwa Dubai, pili kweli ni utumiaji vibaya madaraka kama kilichosemwa ni dhahiri. Kwa kuwa kuna vyombo ikiwemo Kamati ya Maadili ya Bunge kuhoji wahusika. Nionavyo Mimi maadili ya watanzania yameporomoka kwa kiasi kikubwa na kuna haja ya kujadili kwa Kina. Ni aibu yetu...
  12. K

    Pres Jakaya Kikwete, You have made us proud!

    Iko wapi hotuba?tuwekee mkuu tuanalyse
  13. K

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Haya bana ukistaajabu ya Musa utaona ya Kapuya!!!!!!!
Back
Top Bottom