James Mbatia huna shukrani

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
 
sasa ulitaka atetee uovu just because raisi kamteua? anachokionesha Mbatia ni kuwa he doesn't give a damn kuhusu huo uteuzi, atasimamia kile alichokua anakihamini tangia mwanzo. what if CCM walikua wanajaribu kumnunua kwa uteuzi huo?
 
Acha upuuzi. Unafkri ni kama wale waliozawadiwa uwaziri na wanaish utumwani kwa kutetea hoja ambayo hata wao wanaamini si sahihi. Mbatia ana msimamo na hayumbishwi na hongo ya ubunge. Jaribu kuwa Critical Thinker na c kujamba tu. Unafkri thread ni msg zenu za whatsapp?
 
Mbatia siku zote ni mwehu tu ni mtu wa kujipendekeza ila siyo mtu wa maana sana kwenye hii jamii.
 
CDM walisema amehongwa ubunge lakini sasa wanamsifia.sasa ndio mjue JK ni mtu wa namna gani.
 
Naona Agustino lyatonga Mrema MAFAO yake tutafuatilia chap chap!?ndiyo mlijua na huyu pia mtamziba ubongo/mdomo? Hamna rangi mtaacha iona maCcm.
 
Kunatofauti ya kuishi kwa usaliti

1. Masumbuko Lamwai

2. Augastine Lyatonga Mrema

3. Prof Shivj
Nk

Hawa wanaishi kwa kuweka uwezo na akili zao mifukoni, wanatumika kupotosha na kuangamiza haki ya waliowengi kwa ushawishi wa elimu, nafasi na umaarufu wao

Kuishi kwa ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza aliyekuteuwa kwa lengo la kutmika na kumtumikia kuficha uchafu na uovu wake.

James Mbatia ni muumini wa kweli wa kutafuta utatuzi wa matatizo na kero mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa zinazowafedhehesha watanzania na kuwatia aiubu muda wote kwa umaskini usioelezeka.

Nikutokana na ujasili, weledi na uelewa wa Mh Mbatia kwamba hawezi kuwasaliti waliowengi kwa manufaa ya koo za wachache kuhozi utajiri wa Taifa hili.

Mbatia ni hazina kwa Taifa la watu makini na wakweli kwa faida ya wote.
 
Kwani aliteuliwa amtumikie aliyemteua au aliteuliwa atumikie wananchi kwa uledi wake
 
Mosi, Mbatia kuteuliwa na Rais haina maana ndo basi tena, afanye mambo kwa kulipa fadhila... kama ndivyo basi hata wabunge wa kawaida nao walipaswa kulipa fadhila kwa wananchi waliowachagua... HOW? Kwa kutimiza ndoto za wananchi.

Lakini kwa upande wa pili, inawezekana kabisa lile ambalo Mbatia angesema YES endapo angekuwa mbunge wa kuchaguliwa ( wa jimbo); leo hii anaweza kusema NO kv tu ni mbunge wa kuteuliwa... anaweza kufanya hivyo si kwa ujasiri bali kujificha kwenye kivuli cha woga... woga wa kuambiwa anasema YES kwa ajili ya kulipa fadhila; inferiority complex.
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

You are a GREAT THINKER,Not!!
 
Mbatia kichwani zinamtosha. Shida ni wale vilaza akipewa cheo humsaliti hata mama na baba yao. Big up James
 
nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa mheshimiwa james mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
makalio yako.
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Kwani "job description" muliyompa inamwagiza afanye nini!? Kweli ccm ni maiti.
 
Kumbe aliteuliwa kwa kazi ya kutetea upumbbavu wenu, huna akili we kenge

Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
 
Acha wehu wewe..unataka ashukuru kwa njia ipi? Mimi namheshimu Mbatia kwa sababu ametoa shukrani kwa njia ya kuwatumikia wananchi hiyo ndo shukrani kubwa sana ila Mrema ndo hana shukrani...
 
Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.

Mbatia anafuata haki yake ya kuwa muwaza , na kutopelekeshwa na hisia za kulipana fadhila za kitoto, kama na wewe unamlipia fadhila mjomba wako tbua si wote wenye upeo mdogo kama wako.

♥TANGANYIKA KWANZA★
 
Mbatia ni jembe la ukweli kama vp wanaccm chukueni Ubunge wenu kwani uliutumia maombi? Mlijipendekeza wenyewe sasa mnalalama nini kama si wehu? Mh. Mbatia piga kazi wala usiwasikilize wajinga kutoka CCM wana mipasho wale
 
Kumbe ukiteuliwa ni lazima ufuate ya mteul???? Majanga.. kumbe ndio maana kina Mwakyembe wamebadilika hivyo baada ya uteuzi?? Huu ndo USALITI
 
Back
Top Bottom