Recent content by Kikombo

  1. Kikombo

    Car4Sale Rav4 inauzwa

    Gari rav4 inauzwa, kwa anayehitaji tuwasiliane kwa taarifa zaidi, muuzaji anapatikana kwa 0784287546. (Only for serious buyer) Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kikombo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kibiti bado tatizo, tunahitaji upembuzi yakinifu ziambatane na jitihada zinazoendelea kufanywa na makamanda wetu.
  3. Kikombo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Utaratibu wa Like umefika wapi humu?
  4. Kikombo

    Natafuta Kiwanja Majohe ukubwa wa 40 * 25

    Wapendwa bado sijapata kiwanja eneo la majohe. Mwenye msaada wa kupatikana kwa kiwanja tafadhali. Ukubwa wa 40" * 25" au zaidi ni nzuri zaidi.
  5. Kikombo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Mawasiliano plz
  6. Kikombo

    Maduka ya kupangisha

    Kwa wafanya biashara ya duka karibuni vipo vibanda vya kufanyia biashara vinapangishwa, eneo la Majohe kwa Baba issa karibu na ofisi ya CCM Majohe. Vimejengwa kisasa kabisa bei Tshs 50,000/= @ mwezi.
  7. Kikombo

    Natafuta kiwanja eneo la Majohe

    Kisiwe na mgogoro kwa jamii, Offer inategemeana na eneo husika.
  8. Kikombo

    Natafuta kiwanja eneo la Majohe

    Asante kaka, huko hapana ngoja hali iwe shwari kwanza.
  9. Kikombo

    Natafuta kiwanja eneo la Majohe

    inategemeana na kiwanja chenyewe kaka, yaani ukubwa wake na eneo kilipo.
  10. Kikombo

    Natafuta kiwanja eneo la Majohe

    Salaam wote! Napenda kuomba yeyote mwenye kiwanja au taarifa ya kiwanja eneo la Majohe ambacho kinauzwa anijuze kwani nahitaji, kiwe na ukubwa kuanzia 30" kwa 30" au zaidi. Asanteni.
  11. Kikombo

    Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

    Mkata umeme..
  12. Kikombo

    Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

    Mkubwa Azael, sio vyema kumnyoshea kidole mjoli wa Bwana Mungu! Jamii kwa ujumla tulielewe hilo na tusiwe na tabia ya kuthibitisha habari ambayo haijadhihirika ni kweli. Niwatakie jumamosi njema.
Back
Top Bottom