Mkuu nina Ndugu yangu Yupo Maeneo Ya Kibiti Vip Nikutafutie Huko Maeneo Bei Poa KabisaSalaam wote!
Napenda kuomba yeyote mwenye kiwanja au taarifa ya kiwanja eneo la Majohe ambacho kinauzwa anijuze kwani nahitaji, kiwe na ukubwa kuanzia 30" kwa 30" au zaidi.
Asanteni.
Salaam wote!

Mkuu umepata hicho kiwanja ni pm maelezo yako unataka kiwe na sifa gani za ziada na offer yako ni ngapi nina waenyeji maeneo hayoSalaam wote!