Maduka ya kupangisha

Kikombo

Member
Jun 29, 2012
60
48
Kwa wafanya biashara ya duka karibuni vipo vibanda vya kufanyia biashara vinapangishwa, eneo la Majohe kwa Baba issa karibu na ofisi ya CCM Majohe. Vimejengwa kisasa kabisa bei Tshs 50,000/= @ mwezi.
IMG_20170531_074902.jpg
 
Back
Top Bottom