Naona mimamluki ya Jiwe yamejazana humu..sio wengi ila wana ac nyingi sana unaweza kudhani unabishana na zaidi ya watu mia kumbe wanne tu...anyway kwa mtu mwenye ubinadamu na utu..hawezi kukejeli,kudhihaki wala kuchekelea kitendo alichofanyiwa Lissu..ni pale tu unapokuwa na roho mbaya ya...
Uliposema tu mpaka machozi yamenitoka..thanks dear..nikagundua kuwa wewe ndio mhusika!..huwezi kulia kwa kupewa ushauri unaoupeleka kwingine!..siku nyingine wewe jilipue tu..humu hatujuani!
Comforter in chief hawezi kutoa majibu ya kipuuzi kama haya kwa mtt mdogo kama huyu aliyepitia maisha magumu!,hayo maneno yake makali yataishi kwenye ubongo wa huyo mtt maisha yake yote..ni kama keshamwekea kilema cha maisha!she will not be the same again!..ningeomba wenye uwezo angalau...
Tunashukuru sana mkuu..hadithi ilikuwa ni ya kizungumkuti kwelikweli..ila napenda kutoa tu angalizo efficiency ya polisi ilikuwa kali sana..na sisi wananchi tungependa polisi wetu wawe kama hivi..lkn hawa wa kubambikiza kesi,rushwa,na upendeleo wa kivyama..kamwe hawatafikia level hii kwenye...
Vyura bwana..hivi lile bakuli lenu limeshafika tasaf..maana wabunge naona waliruka kimasai..usawa huu wa JIWE mtatateseka sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanakijiji ni mtu wa hovyo tu!..wewe unalinganisha uchumi wa USA na Tz!njoo ujionee hizo kampuni zingine zinazochipuka..zinapigwa nyundo na TRA hata kabla hazijachungulia udongo!hali ni mbaya ndg..sector zooote ni kilio tu!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajaribu kuutafuta ukuu wa wilaya kimtindo..nikupe mchongo..nenda kisarawe utapewa maujanja na mwenzako alifanyeje akapewa!..uwe tu jasiri..maana inaweza kuwa ni force force tu..but uzoefu unao!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.