ubayani uko wapi. Na hawa anaosema wakamatwe wapo mubashara si wakutafuta. Point yake ina mantiki yafaa kuzingatiwa. Hapa hapingi anaunga mkono hoja lakini anakataa uonevu kila mwenye haki kwa mujibu wa matendo yake apewe. Naomba muunge mkono Lissu kwa hili.
Maslah ya serikali kwao ni muhimu kuliko maslah ya majimbo yao. Hapo ni utekelezaji na usimamisi ya maelekezo ya Rais kwenda mbele. Ukicheza unatumbuliwa. Wasaa wa kushughulikia jambo uko wapi. Ingependeza Mawaziri wasiwe wabunge wa majimbo kwa maendeleo ya haraka.
hii imani yako sio sahihi jambo la kubadili dini sio mchezo kama si hili kesho ungekuwa wangu. Ukifikiria kubadili dini kwanini usifikirie kubadili mume baadae
Umeongea sahihi. Lakini pia wapo wanaokataa vibosile Na kuolewa na mafukara kwa sababu ya kuwapenda tu. Watu hawafanani japo kuwa wote ni wa jamii moja. Hii ni sawa Na wanaume wanaojiegemesha kwa masugar mami si kwa mapenzi bali kujitafutia maisha tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.