Habari wakuu!
Kwa uzoefu wangu sijawahi kuona/kusikia mbunge ambaye pia ni waziri akiuliza swali au akihoji jambo lolote bungeni.
Wote tunajuwa kuwa binge ndicho chombo cha uwakilishi Wa wananchi na kama baadhi ya wawakilishi wetu hatuwasikii lazima tujiulize mawili matatu!
je, kuna kipengele cha katiba kinachombana waziri kuihoji serikali ndani ya bunge? au mtu akishateuliwa kuwa waziri basi atawasemea wananchi wake kupitia vikao vya ndani au wanapokutana na mawaziri wa wizara kwenye vijiwe vya kahawa?