Recent content by Kijunjwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Kuanzia miaka 17 kushuka chini ni kuwa Msichana wako wa Kazi ni kuendeleza ajira kwa Watoto "Child Labour!!! Tafadhali acha kuwapatia watoto wadogo ajira, tafuta mtu anayejitambua na si mtoto mdogo alee mtoto mwenzie.
  2. K

    JamiiForums Tanzania US sanctions Tanzanian kingpin, Shkuba and his East Africa-based Drug Trafficking Organization

    Hapa kuna haja ya kupafanyia kazi ya ziada...finger print inaonekana nayo inamatatizo makubwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Sina hakika kama watu mnahakika na mnachokisema. Necta inaongozwa na taratibu...Nashauri mtoa mada kasome kwanza taratibu zake na kuzielewa hasa za grading a utaaji wa matokeo. ...Mama wa watu kwake shoka ni shoka hana kamusi kurefusha na kuita kipasulia kuni.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Ajabu sana kuwaza Uwaziri kimkoa . ..hili ndio lilikuwa kina peleka kuwa na baraza kubwa bila sababu....mbona vyeo vingine hawasemi? Tusonge mbele bila kuangalia matabaka yasi? na tija. Kama nchi tuangalie u wajibika wa mtu anayepewa madaraka na si katoka wapi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Huu uzi nao unaelekea kuwa wa kimbea! Kama hao Wazuri walipelekwa mikoani...mbona huko nako rushwa bado inashamiri? Au uzuri wao kiutendaji lazima wawe makao mkuu? Aidha, hii biashara ya kuandika majina katika thread imetoka wapi? hasa ukizingatia mengine ni personal affairs ambazo ni ngumu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto chini ya miaka mitano anaweza kupata kisukari?

    Pole Ugalila! Katika uelewa kidogo nilionao ni kuwa hiyo ni type 1...kulingana na maelezo ya mtaalam mmoja ni kuwa ndani ya type 1 kuna aina 5. Sasa kupona kwa mtoto itategemea ni ipi kati ya hizo tan?. ..kwani inabidi wajue source ni nini hasa. Mfano..Kama ni ya muda mfupi (Inashuka kutokana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Mtoto ni mume wako kwa sasa ...mpaka pale itakapojulikana vinginevyo. Mengine umejibiwa kiufasaha na wenye hasira na tabia yako
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Naona kuna tafsiri tofauti au uelewa tofauti..uelewa wangu ni Serikali haijapanga bei ila imesitisha ongezeko la ada mpaka pale ada elekezi zitakapotolewa. Ada elekezi zitakuwa na msingi wake..mfano kuweka shule katika madaraja kama ulivyoahidi kwa mabadiliko sasa hivi. So, huduma na quality...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Minyoo kesi yako ni sawa na kidume kukaa na mke maka 3 bila matokeo na wakati mkataba ni watu waone matunda. ..kaja kidume mwingine ndani ya wiki watu wanaona matunda....hivyo apewe heshima aliyefanya matokeo kuonekana maana wewe muda wote umeshindwa kuonyesha matunda ya kukaa naye.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Pembuzi: Ni rahisi kupunguza Mawaziri ila siyo Wizara

    Halfcaste Hivi umewaza sawa sawa kabla ya kuja na hicho kichwa cha habari? Tangu lini Wizara 2 zinazojitegemea ukiunganisha zinabaki kuwa 2. Yaani Wizara ya Maji + Kilimo na Chakula zikizaa Wizara inaitwa Maji, Kilimo na Chakula bado kwako tafsiri ni 2. Adha, tambua kuwa gharama za uendeshaji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Biochemist J.Watson na Bw.Lowassa!

    Ungesema basi we una umri gani ili tujue elimu yako na mazingira yako hasa umri umefika wapi ukilinganisha na yeye na umri wake ...maana kama ana umri wa mzee wako mjomba wao au shangazi basi fanya tuwajue ili na watu walinganishe Elimu zao na Edo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mtoa mada njoo utoe taarifa ya upatikaji wa mbengu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wilayani Makete, wamchinja Chui na kugawana nyama

    Hii picha inavyoonekana, jamaa ni walaji wazuri wa chui...naamini hata paka, mbwa na wafananao nao kwao msosi !
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

    Barua ina mambo mengi....."kidhungu".....googlemail(mh).....Ikulu yetu iko Barack Obama Road sijui kwanini haiko hata Barabara ya Mwananchi( au huo mtaa ungekuwa hata na jina au kwetu ...mfano Barabara ya Tanganyika/Mzaramo/Ikulu/Mtemi/..n.k).
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Wa Mwakyembe na Eng. Madeni Kipande !

    Lugha ya iliyotumika katika document inaonyesha ni lugha ya mtu mmoja, hvy haiwezekani ikawa maamuzi ya bodi. Nadhani mleta mada umesahau kuweka lugha ya collective responsibilities katika kuleta uongo wako. Aidha,si vema kutuhumu watu kuwa wametakwa kimapenzi katika kujustify uongo wako...
Back
Top Bottom