inno89
Member
- Jun 26, 2016
- 90
- 75
Habari , ninatafuta msichana wa kazi ambaye anauwezo wa kufanya kazi ndogondogo za nyumbani kama kupika(sio milo yote), kudeki,kufua,kuosha vyombo na kushinda na mtoto wa mwaka mmoja na nusu.
Umri kati ya 14-21, uwe mvaaji wa nguo za heshima(suruaili mibano,taiti,vimini hazitakiwi). Mahitaji muhimu ya mtoto wa kike atapatiwa bure, mshahara 40,000 akifanya kazi vizuri, 30,000 kama hana experience/uzoefu na hii kazi.
Hii kazi ipo Arusha Kama upo tayari ntafute kwenye hii namba 0765 596933 kumbuka uwe na heshima,nidhamu,mskivuu, kama hivi huna usipoteze vocha na muda wako..