Recent content by kijogooo

  1. K

    Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Mzee kwanza kuteketeza mihadarati ni kazi ya polisi kwa mujibu wa katiba. Pili, likigundulika shamba la bangi alieresponsible kutoa Maelezo juu ya mmiliki wa hilo shamba ni serikali ya mtaa, Hapo wanakijiji hawahusiki kabisa, labda wanawezatoa ushirikiano kwa polis na viongoz wa mtaa ili...
  2. K

    Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Humu kuna watu vizibo Atari, mtu umeambiwa alichoagiza raisi kpo kinyume na sheria, na evidence zimewekwa! Ila mtu anareply Mara oooh, hwezi kusapot bangi ukabak salama, Mara oooh, diwani hawezi kusema kinyume na raisi, kwani raisi anamamlaka ya kuagiza kinyume na katiba? KUNA MTU KASEMA...
  3. K

    Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

    Mzee mbona unafanywa mdogo kama pilitoni AF unakbali kizembe? Halaf kwnza yeye anafanya kazi gani?
  4. K

    Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    *Mkuu issue sio kuvunja mkataba, kama iligundulika uwezowao ni mdogo bas maamuzi ya kuvunja mkataba ni sahihi. Shida inakuja JINSI mkataba ulvovunjwa haukufuata sheria (ubabe ulitumika) kias kwamba Wale jamaa(SCEL) hawakulipwa baadhi ya stahiki zao kulingana na mkataba ulokuepo. Ndo chanzo...
  5. K

    Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Nmefurah kwmba bado hakili yko ipo na utimamu kama ule tulouzoea, GET WELL SOON TUNDU LISU, HAKIKA MUNGU ATAKULIPA KWA DAM ULIYOVUJA NA MAUMUVU ULIYOPATA!
  6. K

    Wale waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wachezaji mpira, haya ni ya kweli?

    Dah! Ukiwa na mazoezi unakua comfortable ile mbaya kwa game! An unakuahuru kukimbia speed yoyte na kuslow down interchangeably, bila kuishiwa nguv, ukktana na mtoto ambae ana feelings(achana na wauza papuchi),,,, Lazima arudi kuomba irudiwe! Co utani, kma una tatzo ukitupia kamba mbili mzigo...
  7. K

    Morogoro: Mji wa watu goigoi

    Morogoro ni kubwa ukilnganishs na DSM ambayo ni ndogo sana na sehem kubwa ni mjini,
  8. K

    Morogoro: Mji wa watu goigoi

    Unatakiwa uelewe kilchozngumziwa ni mji wa morogoro sio mkoa wa morogoro[emoji1] [emoji1]
  9. K

    Morogoro: Mji wa watu goigoi

    Usfananishe mwanza na mikoa ya kijinga kama morogoro, hatuna uo undez mwanza.
  10. K

    CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Tunasubir afanye ivo na kwa bashythe!
  11. K

    CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    [emoji52] [emoji1] [emoji1]
  12. K

    Dyabala na Neimar nani mkali?

    Dah! Siamin kama neymar amefkia hatua ya kudharauliwa ivi! Lakin knachomponza Neymar ni kwmba Anaonekana hajatulia na hata timu yake hajaisaidia sana katika nyakat ngumu, unajua thaman ya mchezaj ni pale anapoisaidia timu kupata matokeo pale ambapo ingekua vigumu. Ameikuta PSG inapata matokeo...
  13. K

    Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

    Ushauri wangu, kama umri wako ni 29+ na unaona anakufaa oa, Lakini kma umri wako ni chini ya 27, ukioa msimbe umejila,
Back
Top Bottom