Dyabala na Neimar nani mkali?

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,048
2,000
Wakuu!PAULO DYBALA NA NEIMAR JR MKALI NANI?

Paulo Bruno Exequiel Dybala (Spanish pronunciation: [ˈpaulo ðiˈβala];[a] born 15 November 1993) is an Argentine professional footballer who plays as a forward for Italian club Juventus and the Argentina national team.

20180312_002642.png
Neymar da Silva Santos Júnior (Portuguese pronunciation: [nejˈmaʁ dɐ ˈsiwvɐ ˈsɐ̃tus ˈʒũɲoʁ]; born 5 February 1992), commonly known as Neymar or Neymar Jr., is a Brazilian professional footballer who plays as a forward for French club Paris Saint-Germain and the Brazil national team.

Karibuni katika mjadala!
 
kijogooo

Member
Nov 23, 2017
20
75
Dah! Siamin kama neymar amefkia hatua ya kudharauliwa ivi!

Lakin knachomponza Neymar ni kwmba Anaonekana hajatulia na hata timu yake hajaisaidia sana katika nyakat ngumu, unajua thaman ya mchezaj ni pale anapoisaidia timu kupata matokeo pale ambapo ingekua vigumu. Ameikuta PSG inapata matokeo katika mechi za ligi, na hata alivokua majeruhi bado ilikua inafanya vzuri, Lakini kama angeiongoza PSG kuifunga MADRID, hata huu Uzi usingeuandika.

Lakin mpira anaelewa hwezmlinganisha na dyabala,
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,697
2,000
Dyabala

Jamaa amekwenda na Juve mpaka fainali champion league mwaka jana. Na mwaka huu anakwenda nayo tena mapema basi nusu fainal.

Neymar PSG tayari imeshamshinda, atafute timu iliojaa mastaa aende. Nguvu binafsi za kusukuma timu hasa kwenye Big match hana kabisa.
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,531

Binafsi Ligue 1 ndio level yake.....akikutana na wababe hafanyi chochote anabaki kuzurula na mpira tuu bila sababu yeyote. Ni kweli unavyosema mkuu,, PSG tayari imeshamshinda,atafute timu iliojaa mastaa wengi aende,

Kwangu mimi Dybala ataendelea kuwa bora kuliko Neimar. And Ningetamani mno aende Tim kubwa akacheze., mechi ya juzi dogo alipiga mpira balaa and man of the match.. ile penalt asingemuachia Higuain apige angelikuwa na second freekick now. Dogo yupo vizuri sana na anauchungu na timu yake.
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,531
2,000
Neymar ni mchezaji mzuri sema form yake ya msimu huu na ligi alo enda ndio vina mfanya Dyabala aonekane mzuri.
Ila Neymar at his best Dyabala hatii mguu kabsaa

Dah we jamaa umepotelea wapi? Nikajua umefichwa na watu wasiojulikana....aise kidogo nianzishe thread ya kupotelewa na ndugu yetu..uwe unaaga bwanaa.
 
Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,623
2,000
Dah we jamaa umepotelea wapi? Nikajua umefichwa na watu wasiojulikana....aise kidogo nianzishe thread ya kupotelewa na ndugu yetu..uwe unaaga bwanaa.
Hahahaha
Halaf nikajua na wewe ulisha ondoka asee
Ila nimerud kama kiwango cha ronaldo kilivo rud.

Sema nlienda kwenye ukurasa wa fcb sku kuona kabsa kule.
 
Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,741
2,000
Hahaha!!!

Kuna watu bado wanachuki na neymar kisa uhamisho wake uliowaacha midomo wazi.

Neymar mchezaji bora kabisa kwangu..
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,531
2,000
Hahaha!!!

Kuna watu bado wanachuki na neymar kisa uhamisho wake uliowaacha midomo wazi.

Neymar mchezaji bora kabisa kwangu..

Sasa wewe ndo unataka kuiharibu hii mada...changia kwa uzuri bila kupitisha vimaneno maneno mkuu. Hakuna anaemchukia neimar..kwahiyo woote wanaompinga wanamchukia sio?? Wekeni ushabiki pembeni tuongee facts bwana!!

Neimar huwezi mlinganisha na Dybala hata kidogo,, Dybala kaipeleka timu yake mpaka final uefa last year,,na last match na spurs kaipeleka Quarterfinal na nnauhakika akikutana na timu tofauti na Barca anaenda final. Serie A timu yake kaipeleka mbali mpaka imechukua vikombe...Huyu dogo ndio injini ya juve kama hujui waulize pale Turin Dybala nani watakujibu bila kupapasa.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,969
2,000
Dyabala

Jamaa amekwenda na Juve mpaka fainali champion league mwaka jana. Na mwaka huu anakwenda nayo tena mapema basi nusu fainal.

Neymar PSG tayari imeshamshinda, atafute timu iliojaa mastaa aende. Nguvu binafsi za kusukuma timu hasa kwenye Big match hana kabisa.
huu ndiyo ubaya wa kuchambua mpira na viwango vya wachezaji kwa kuangalia matokeo.kaa chini fuatilia mpira unaopigwa uwanjani uwanjani ndiyo uje uchambue ubora wa Neymar na Dybala.
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,697
2,000
huu ndiyo ubaya wa kuchambua mpira na viwango vya wachezaji kwa kuangalia matokeo.kaa chini fuatilia mpira unaopigwa uwanjani uwanjani ndiyo uje uchambue ubora wa Neymar na Dybala.

Ubora gani unaouzungumza? wa French league au? Anachokifanya Dyabala Juventus Neymar kinaelekea kumshinda PSG na karibu atatoka bomu akimbilie Real au arudi Barca.
Hebu katafute Juventus vs Barca mwaka jana utizame vizuri. jamaa yako aliishia kulia baada mechi ya pili baada ya kupotea uwanjani kwa dakika 180.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom