Recent content by KiJo

  1. KiJo

    Tarehe ya maandamano ya Tanzania nzima

    Jamani mi sioni kwanini kuandamana kwa watu wale wale wanaofanya udhalimu, uonevu na ufisadi wabadilike na kutumikia taifa kwa uaminifu kutatua matatizo yetu, uongozi mpya na bora kama ilivyokua tunisia uwekwe hakuna hata mmoja aliyepo kwenye system kurudishwa madarakani natumaini ingeweza...
  2. KiJo

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    "Amaa kweli kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo...." mjinga ndio anaeliwa na kila dakika anazaliwa...
  3. KiJo

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Kama ilivyo ada no one is held accountable/responsible for all that has happen and this is the worst shortfall ya viongozi wetu hata wenyewe wanakwepa majukumu yao kukwepa kuwajibishwa as if hakukua na muhusika katika kusimamia usalama wa haya maghala.... Kimtazamo wangu nlitegemea mheshimiwa...
  4. KiJo

    Be ware with what you eat..read and tell your friends

    tumeadapt sana mambo ya kizungu jamani turudi kwenye destruri yetu ya kula vitu vya hasili, mostly hizi mboga mboga ndio zinakua na sumu na vitu kama nyanya,vitungu n.k coz almost evry food is prepared using them zikiwekwa madawa ya kukuza na kuzuia wadudu, zinatakiwa kukaa kwa mda kidogo but...
  5. KiJo

    Naliona anguko la Kibanda

    Kwa kweli sioni umuhimu wa hii habari,wala uwepo wake JF na sizani kam inamsaada wowote kwa mtanzania, kuna matatizo mengi sana tanzania ya kujadili kulikomboa taifa other than kukaa na kujadili kutishiwa kwa msaidizi wa RA who is he by the way, hata huyu RA hana uzalendo na nchi wala raia wake...
  6. KiJo

    Mnyaa nae Kinyaa

    If you can't fight them, join them ndio kilichowatokea CUF.... Wamekula kichapo sana wache tu wajiunge coz there is nothing left for them
  7. KiJo

    Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

    "Doing what's right isn't the problem. It's knowing what's right..."
  8. KiJo

    Kuvaa msaraba wakati wa Tendo

    ukimchunguza sana ngurue hutakula nyama yake, ulichotaka unakipata ukitaka kujua vingine utakimbiia mpaka kisigino kiguse kisogo.....
  9. KiJo

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    The world is a dangerous place to live - not because of the people who are evil but because of the people who don't do anything about it.
  10. KiJo

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Tatizo vitendo imekua F, CDM hawawez ufanya haya yote peke yao bila kuapata support ktoka kwa wanachi kupinga mabadiliko yaliyofanywa kinyemela kwa manufaa ya watu wachache yatakua yale yale ya 95 BM na chenge kubadilisha vifungu vya uchaguzi watu wakakaa kimya ikapita mara hii tunaona umuhim...
  11. KiJo

    Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

    Nguvu tu ya chama tawala kupunguza mabomu bungeni na makinda kujibu haina maslahi kwa umma kwani ye kaenda kuuza njugu mjengoni au...? Jaman wanasheria mnalitambua hilo swala tuwekane wazi of what is behind the scene....
  12. KiJo

    How do you know about Valentine's Day?

    Mmmmh! mi naona its just a minor part day la msingi kuonyeshana mapendo zaidi through caring kwa sana,making eachother happy kwa utani utani nin,sweet word kwa sana, some romance kwa wingi and other activities to keep your relationship awake... mechi kidogo maji yakifika shigoni, nit mnamalizia...
  13. KiJo

    Hivi ni muda gani ndiyo muafaka kwa....?

    Too much sex kills the eyes, most of the people unakuta hawana cha kuwaweka bzy mawazo yote yanahamia chini,15-20 min(romance inclusive) and 2-3 days a week is good for your health and relation..
  14. KiJo

    Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

    ONE DAY YES, just on the way arriving....!!:coffee:
Back
Top Bottom