Mnyaa nae Kinyaa

Kila mbinu chafu inatimika dhidi ya CDM. Naona hii ndiyo ilikuwa ajenda maalum ya kile kikao kilichoitishwa jana baada ya bunge kwisha kikihusisha ccm zanzibar na wake zao cuf
 
Mkuu unategemea kuna siku caji kuiongelea. chama tawala kitaongelea vizuri chama cha upinzani? nani kasema, hii hoja ya kutokuwa na mbunge visiwani haisimami wala hatuhitaji kuiongelea!

u have a point mkuu
 
kuna mbunge wa ccm anaitwa sijui mngungu eti anasema tatizo la umeme ni demand imeongezeka, jamani hawa ccm mbona wanacheza na maisha yetu, hiyo demand iliyoongezeka ni ipi, for miaka saba wameongeza wateja wapya kwa only 4% tu, du kweli nimeamini ccm ni wauaji. ina maana hawajui tatizo la kukosa umeme kweli, hapana this is too much now.
 
Wao ni wa kitaifa kwa sababu wana mbunge Mara??????? Au utaifa kwao ni Pemba tu?

cuf awana mbunge mara bali wana diwani tarime maeneo ya nyamongo tena alikuwa mbunge wa tarime ambaye alikimbilia cuf baada ya kubwagwa chini na wakurya
 
huyu kinyaa naye ni pumba tupu kama hakuwa na hoja ya kujadili si bora angeshona mdomo kama fisadi no 1 RA anavyofanya
 
Nilikuwa nadhani wazungu tu ndo wanatumanipulate ss waswahili kumbe hata wenyewe kwa wenyewe tena wapinzan kwa wapinzan?
 
If you can't fight them, join them ndio kilichowatokea CUF.... Wamekula kichapo sana wache tu wajiunge coz there is nothing left for them
 
Kwa taarifa hizi CDM sasa CV yake inazidi kupaa. Hawa wanaogopa vivuli vyao. Hawana cha kuwaambia wananchi, na wana uhakika kabisa wananchi wote wamewachoka. Hilo liko wazi.

Achana nao 2015 siyo mbali ingawa wao wanaona ni mbali sana.

Mbowe: kaza msuli Kamanda
Uko sawa mnooo. CUF wamefilisika
 
Back
Top Bottom