Ingeongezwa dk 1 tu mbona ingekuwa balaaa, wengine wangepata kifafa!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Mnajua ninachoongelea hapa. Hakika wengine tungekufa hivihivi! Wenye magonjwa yaliyofichika lazima yangeibuka tu.
 
Du hii kali, kweli kila alipo binadamu vituko havikosi!
Au anadhan c ni wanajimu nn?
 
Ni nini sasa na wewe labda orgasm maana ile tu unayopata ni sekunde saba tu,ikiwa dk moja si unakunya kabisa. weka vitu wazi basi na wewe.dumelambegu bwana
 
Aisee unaakili sana wewe.yaani akili zako mpaka zimepitiliza.yaan wewe ni kiboko,hakuna anayekufikia.ingepita dk moja tu ungekuwa na ibilisi jehanamu wakati mie nakula raha akhera.
 
Mnajua ninachoongelea hapa. Hakika wengine tungekufa hivihivi! Wenye magonjwa yaliyofichika lazima yangeibuka tu.

Mkuu mbona dakika utakutwa umekufa na umeshakuwa wa baridi kabisa, labda sekunde 15 na bado wengine wangezimia kunako.
 
Mbona mbwa wanachukua mda mrefu kushusha mzigo na hawafi, mimi natamani kale ka-muda kaongezeke kidogo ila sio dakika aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom