Be ware with what you eat..read and tell your friends

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
"I had food poisoning that was really bad. Just realized we bought eggchops on sunday from Royal Bakery at Kawe Road, a number of people were affected as well- 2died and 18 more hospitalized. The place is closed now for investigation I heard. Spread the news to your friends. "

This is frm a person i know who got sick n was admitted. pls be careful people. especially na hivi vyakula vya supermarket.. i mean tanzania bado tunaweza kupata vyakula fresh, tujali afya zetu na maisha yetu jamani, na hawa tbs au tfda wana kazi gani? maana nasikia kuna mayai yanatoka dubai eti na wakati bongo yamejaa.
 
Siku moja nilinunua mayai pale M'City kumbe yalikuwa yameharibika, na mgao huu wa umeme hali itakuwa mbaya sana.
 
Siku moja nilinunua mayai pale M'City kumbe yalikuwa yameharibika, na mgao huu wa umeme hali itakuwa mbaya sana.

Same here,yaani yanatoa harufu kabisa,hata ile bufee yao,kuna vyakula vinakuwa vimeharibika.....yaani mtu ulipe mlo 7000 then upate na ugonjwa wa kutibu wiki..nchi hii jamani,tujipikiege tu home tubebe kazini....l.o.l:laugh::laugh:
 
"I had food poisoning that was really bad. Just realized we bought eggchops on sunday from Royal Bakery at Kawe Road, a number of people were affected as well- 2died and 18 more hospitalized. The place is closed now for investigation I heard. Spread the news to your friends. "

This is frm a person i know who got sick n was admitted. pls be careful people. especially na hivi vyakula vya supermarket.. i mean tanzania bado tunaweza kupata vyakula fresh, tujali afya zetu na maisha yetu jamani, na hawa tbs au tfda wana kazi gani? maana nasikia kuna mayai yanatoka dubai eti na wakati bongo yamejaa.

unawaulizia tbs na tfda?hao ndo wanyama gani?wenzio hao wanafanya kaz kwa hisia,tfda hadi wasikie maziwa ya kopo yameua southafrika o china nao ndo wanafufuka,juz walisema pen-v zilzopo sokoni ni SUMU,zilfikaje?
hao tbs ndo wamekua politicianz,last month prof Tolly Mbwete alitoa mhadhara wa kiprofesa na kusema kuwa alifanya utafit kwa 5 yearz akagundua kuwa maji ya chupa c salama,kwani hakuna usimamiz kwenye kuyaandaa,tbs hawafiki viwandani,pia kuna maji fake mtaani,tbs wakaja juu na kupinga,instead of doing research au kuipitia ile ripoti,so sishangai kwa hili unalolisema sasa,tfda na tbs are TOOTHLES DOGS
 
Same here,yaani yanatoa harufu kabisa,hata ile bufee yao,kuna vyakula vinakuwa vimeharibika.....yaani mtu ulipe mlo 7000 then upate na ugonjwa wa kutibu wiki..nchi hii jamani,tujipikiege tu home tubebe kazini....l.o.l:laugh::laugh:
Si unajua tena kila mmoja anataka kuonekana anakula M/city hahaha! itatutokea puani.
 
Si unajua tena kila mmoja anataka kuonekana anakula M/city hahaha! itatutokea puani.

ha ha ha ha ha,bongo bwana,mahotel mengi makubwa,vyakula si fresh,vimejikalia kwa friza weee.....na huu umeme wa ku-beep kazi tunayo...bora mama ntilie anajichinjia kuku wake asubuhi anapika waisha kesho tena,lakini huko kwa gharama ni upupu,bora ukanywe tu kahawa!!!!:laugh::laugh:
 
tumeadapt sana mambo ya kizungu jamani turudi kwenye destruri yetu ya kula vitu vya hasili, mostly hizi mboga mboga ndio zinakua na sumu na vitu kama nyanya,vitungu n.k coz almost evry food is prepared using them zikiwekwa madawa ya kukuza na kuzuia wadudu, zinatakiwa kukaa kwa mda kidogo but zinawekwa sokoni na watu wananunua na kula, tanzania yetu ni kama hamna mamlaka ya kucontrol hivi vtu na kama tbs basi wanakula rushwa bila kujali ni mtanzania mwenzake na ndugu yake anamua, its better kua na small garden if you can to take care of this small thing ambavyo ni vya everyday consumption on almost every meal, though mazara yake huyaoni but your life span inapungua day by day...
 
Duh jamani poleni sana na ahsante kwa taarifa maana wengine bila kupitia hicho kiduka hatusikii raha. nakulaga sweet breads na katles
 
tumeadapt sana mambo ya kizungu jamani turudi kwenye destruri yetu ya kula vitu vya hasili, mostly hizi mboga mboga ndio zinakua na sumu na vitu kama nyanya,vitungu n.k coz almost evry food is prepared using them zikiwekwa madawa ya kukuza na kuzuia wadudu, zinatakiwa kukaa kwa mda kidogo but zinawekwa sokoni na watu wananunua na kula, tanzania yetu ni kama hamna mamlaka ya kucontrol hivi vtu na kama tbs basi wanakula rushwa bila kujali ni mtanzania mwenzake na ndugu yake anamua, its better kua na small garden if you can to take care of this small thing ambavyo ni vya everyday consumption on almost every meal, though mazara yake huyaoni but your life span inapungua day by day...

Kweli kabisa KIJO,hatuko salama na hivi vitu vya kununua,bustani za nyumbani zingetupunguzia matatizo ya hizi sumu tunazopata kwa mboga,tujitahidi kurudi nyuma kidogo na kula pia vyakula fresh,mtu nyama iko buchani lakini anaenda nunua iliyokaa kwenye friji mwezi na zaidi na kuwekewa dawa ya kuhifadhi!!! thanks!
 
Poleni mliokutwa na mkasa huu. Ushauri wangu kwenu ni kuwa msipende kununua vitu vilivyotengenezwa kwa kutumia nyama kama vile kabab, egg chop, sambusa nk ambavyo vipo kwenye display esp on monday coz c fresh.
 
Same here,yaani yanatoa harufu kabisa,hata ile bufee yao,kuna vyakula vinakuwa vimeharibika.....

Duuh hii noma,kuna dalili kubwa wanalisha watu vyakula vilivyo lala siku kadhaa.Inabidi na hio usambaze kwa watu manake mtu unaweza kupoteza maisha hivi hivi.

Hivi hizi restraurant zetu zinafanyiwa ukaguzi wa mara kwa mara na watu wa afya au ndio kila kitu rushwa bongo?
 
Nakumbuka kuna mtu alileta malalamiko ya nyama za shoprite kutoa funza.

inabidi watu wakiona watoe taarifa kama carmel alivyoleta,tusitegemee serikali kuweza kushughulikia tatizo hili.Tukipeana taarifa kama hivi inakuwa rahisi kukaa mbali na sehemu husika.
 
Back
Top Bottom