Recent content by kijikuuchataifa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Obama amuita Trump ikulu leo

    That's demecrocy
  2. K

    JamiiForums Tanzania TPA kukamilisha meli tatu Ziwa Nyasa mwezi Octoba, 2016

    Aliyekuwa mkuu wa bandari ya kyela, bw. PERCIVAL SALAMA, amesema mamlaka ipo katika hatua za mwisho za kuhakikisha ujenzi wa meli tatu za kisasa katika ziwa nyasa kati ya meli hizo mbilo zitasafirisha mizigo na moja itasafirisha mizigo na abiria. Meli ya abiria inayojengwa hapa itungi ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TPA kukamilisha ujenzi wa meli tatu za kisasa ziwa Nyasa mwezi Octoba, 2016

    Aliyekuwa mkuu wa bandari ya Kyela, Bw. Percival Salama amesema mamlaka ipo katika hatua za mwisho za kuhakikisha ujenzi wa meli tatu za kisasa katika ziwa Nyasa. Kati ya meli hizo mbilo zitasafirisha mizigo na moja itasafirisha mizigo na abiria. Meli ya abiria inayojengwa hapa Itungi ni ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Obama akifanya mambo ya utani ikulu

    Nani kasema trump au wamerekani washahamua
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Mtwara yathibitishwa kuwa miongoni mwa bandari salama duniani

    Tusiwe na negative perspective likija swala la kupongeza bandari ya mtwara nadhani hii itasaidia kuongeza wawekezaji kwanza mtwara na as a country kwa ujumla Kwani security as whole ni kiashiria tosha kwa wafanyabiashara kuleta meli kubwa na kuongeza mapato ya Magi. Mtwara kuchwele nadhani msemo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukata wazidi kuzikumba kampuni zitumiazo bandari

    Ni kweli nadhani ilo swala nimeliona kwa kweli ni dunia nzima nadhani kutisika kwa uchumi wa dunia umegharimu sana kwa wafanyabiashara wa mizigo bandari zote duniani so tusilaumu sana serikali
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar Es Salaam mizigo yazidi kuongezeka

    Kiukweli nimefurahi na nimeridhishwa kabisa na ufanisi kwa sasa nimeelewa kwa nini makusanyo yamepanda kutoka billion 200 mpaka billion 600
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar Es Salaam mizigo yazidi kuongezeka

    Kweli kabisa nimepata kupita hapo nimejionea mwenyewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mlinganisho huu wa Meli, Bandari ya Dar kuna giza nene

    /ATTACH][/URL]
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

    Kwani serikali Kali kukaa na wafanyabiashara naona nisawa na utaifa kuweka mbele nadhani nikujua nijinsi gani mtikisiko ulivyo igharimu biashara zao
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

    Suala la serikali kufuata wafanyabiashara sioni ni tatizo Kwani serikali aifanya kazi pekee yake nadhani nisahihi ili kujua mtikisiko wa kibiashara wa taifa na dunia kwa ujumla busara itumike.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

    Nadhani watu hawajaelewa kuusu ishu nzima kuwafuata wafanyabiashara ni kujua nini suluhu la mtikisiko wa kiuchumi duniani
Back
Top Bottom