Sasa kuna ajabu gani? Alikua anatakiwa asubiri miezi mingapi ndio aende bandarini?Mkuu umejiunga jana,na leo umeenda bandarini?...Hongera..
Kiukweli nimefurahi na nimeridhishwa kabisa na ufanisi kwa sasa nimeelewa kwa nini makusanyo yamepanda kutoka billion 200 mpaka billion 600Kweli kabisa nimepata kupita hapo nimejionea mwenyewe
Hata serikali ilisema hivyo hivyo, TPA wakaja kukanusha, sembuse wewe!... mizigo imeongezeka kwa wingi na si kama tunavyo sikia.
tumeanza kuona matunda ya jitihada za serekali. leo nilikuwa bandari ya dsm nimekuta hali tofaut na watu wanavyo sema. mizigo imeongezeka kwa wingi na si kama tunavyo sikia.![]()
Unaamini hiyo taarifa?..pole.Sasa kuna ajabu gani? Alikua anatakiwa asubiri miezi mingapi ndio aende bandarini?
amejiunga jana mkuuhuyu aliepost anadhihirisha kiwango chake cha kufikiri..
labda angetupa takwimu za siku zilizopita na za leo..
pia hayo makontena hayaoneshi yameshushwa lini na kwa siku ngapi...
kazi mnayo ya kusafisha zigo...