Recent content by kijembeee

  1. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Watz kweli sijui nani katuloga. Hivi kukanusha hoja kuna shida gani mpka personal attacks. Tupo so inferior, kila kitu tunahisi ni subotage. Kutukana hakusaidii, elimu kwa uma kama habar si sahihi inanufaisha wote. Nazidi kuamini (kama na ww ni mfanyakaz wa maxcom) mna lugha isiyofaa kwa wateja.
  2. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Attack kwa mtu instead ya hoja ni dalili ya kukosa weledi wa kujadiliana kwa hoja
  3. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Nimejifunza kitu manutd geofy. Issue sio selcom wala kampuni ya mtz. Huduma zikiwa sio bora utakosa biashara na wateja. Viwanda vya nguo vya tanzania vilikufa kwakua havikua fanisi, kwenye biashara usipokua fanisi utatolewa kwenye soko. Hii ni business opportunity kwa watu wenye mtaji kuinvest...
  4. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Ma Majibu mepesi kwa hoja nzito. Mambo ya kodi yanatoka wapi?! Uwajibikaji haujakidhi vigezo kwenye maeneo nilioainisha, jibu hoja moja moja kwa kuonesha kua ni uongo, na sio kuishia kutetea ni kampun inalipa kodi. hii sio vita na kampuni, habari ya uongo hua inajibiwa na ukweli, na alioongea...
  5. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Hivi kwanini twaogopa criticism?! Propaganda Ni kuongea bila research, na kuongea hoja zisizo na mashiko. Kuogopa ukweli haimaanishi utakua uongo.
  6. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Ama kweli kuna shida sehemu...... Kwahiyo mkandarasi wa ujenzi akijenga kitu kibovu naww ukaona ubovu, hutakiwi kusema kwasababu ni upinzani wa biashara. Kwa maslahi mapana despite upinzani wa bishara ni vyema kutoa tahadhari kabla ya madhara. Kwan uchunguzi ukigundua hamna cha ukweli hata...
  7. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Maxcom ndio wana tenda ya mwendokasi, ata risiti za mwendokasi ukiangalia utaona logo ya maxcom, failure ya servers zao itamaanisha problem kwa risiti na associated problems, au risk ziendanazo na hizo
  8. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Tatizo la nchi hii tupo reactive, hatupo proactive. This is a ticking bomb lakini hatufanyi chochote hadi disaster itokee ndio tunaanza kutafta wa kumlaumu. Nadhani approach nzuri ingekua hii ya kuonyana b4 disasters happen
  9. kijembeee

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Nitoe rai kwa waziri na wizara husika, tume ya ushindani na kwa raisi kuangalia kwa ukaribu jambo hili. Nimefanya uchunguzi mdogo nimegundua madudu haya, uchunguzi wa kina utagundua mengi zaidi, hivyo vyombo husika vifanye majukumu yake ipasavyo USHAURI: KAMPUNI YA MAXCOM ICHUNGUZWE KATIKA...
  10. kijembeee

    Fursa kutoka MaxMalipo

    Over pricing io. Ushauri tuu, io laki nane bora uongeze mtaji wa duka, au tigopesa, bidhaa za maxmalipo hazitoki, mtandao mbovu, ukikosea transaction hela imekwenda. Nna uzoefu nazo kwaio najua nnachokiongea. Pia lak na nusu ka mtaji ni ndogo sana. Nashangaa kwann serikal haiwachunguz, wanauza...
  11. kijembeee

    SUMATRA updates

    hawa jamaa kuna kujuana kwingi sana, kama hauna refa pale ni shughuli kuingia, unaweza ukakuta ata watu washaanza kaz tayari....... mi napita
  12. kijembeee

    Abortion

    lack of planning, forecasting and accountability for their actions
  13. kijembeee

    Natafuta mashine za selcom

    ya maxmalipo ipo, upo mkoa gani, ni nzuri kuliko za selcom
  14. kijembeee

    Mzumbe University hamjielewi, badilikeni

    Ubora wa Chuo si muda ambao mtu anatumia kukaa likizo before kubadili mwaka, kuna things za kukonsider, lakini waTAnzania badala ya kuargue vitu vya msingi mnakaa kukomplain about one week Holiday, basi kama mnataka likizo ndefu between kushift from first year to second year, ukimaliza first...
Back
Top Bottom