Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

Nenda Brela kapate Majibu.

Daima hata wewe ukifanikiwa kimaisha lazima utasemekana ulikua mtoto wa nje kwa baba yako.

Hao wanaoisema Maxicom ni wenye hila na Mafanikio

Maxcom inasemekana ni kampuni ya watu fulani wazito walikuwa ktk utawala uliopita serikalini ndio maana ilikuwa inachukua almost tender zote za malipo za kiserikali na hicho ndio kiliwapa nyodo.

Nchi hii hovyo sn
nda
 
Hivi ukiweka hela kwenye account ya mtu mwingine hata kwenye M-PESA wanarudishaga?
Wanarudisha. Personal nimethibitisha. Nilikosea namba ya wakala

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Wewe ni Mnafki

ni

Usiwapotoshe wana wa Jamii forum.

Acha unafki. Umetumikamkuwakanganya watanzania. Tanja kampuni 5 tanzania zilizopo kwenye ISO.

Unakosea sana umepoteza uzalendo.

$'ataka nchi hii wafanyabiashara wawe ni wageni au?????
Attack kwa mtu instead ya hoja ni dalili ya kukosa weledi wa kujadiliana kwa hoja
 
Nenda Brela kapate Majibu.

Daima hata wewe ukifanikiwa kimaisha lazima utasemekana ulikua mtoto wa nje kwa baba yako.

Hao wanaoisema Maxicom ni wenye hila na Mafanikio

nda
Watz kweli sijui nani katuloga.
Hivi kukanusha hoja kuna shida gani mpka personal attacks.
Tupo so inferior, kila kitu tunahisi ni subotage. Kutukana hakusaidii, elimu kwa uma kama habar si sahihi inanufaisha wote.
Nazidi kuamini (kama na ww ni mfanyakaz wa maxcom) mna lugha isiyofaa kwa wateja.
 
Maneno marefu.. Hoja ya msingi hakuna zaidi ya Udaku tu. Acheni watu wafanye kazi bhana
 
Mtoa mada maelezo yako mengi uko sahihi.

Nadhani Maxcom wangerekebisha haya mambo kwa haraka bila ubahili na unyonyaji kwa wafanyakazi wake ingekuwa poa.

Maxcom ni kampuni ya mtanzania mwenzetu ndg Juma. Ikiwa tunachochea watanzania wafungue viwanda basi anahitaji support kubwa toka Costech,TCRa na wadau wengine wa serikali.

Tatizo la network kuwa down Tanzania naona ni janga la taifa ukienda TRA mifumo yao ya TANCis na mengineyo mengi inakuwa down kila kukicha,
Ukienda mabank crdb, nmb, Western union platforms kwa bongo kila kukicha tupo down.
Imefika wakati hata trafiki anakumbia mfumo upo down.

Tunahitaji ku import na experts wa mifumo, Fedha zitutoke za maana tujenge network servers za ukweli.

Afrika ya kusini huwezi hata siku mojaa ukasikia hakuna network bank au popote hata Reservation systema za hotel tuu hapa bongo zinasumbua.

Ukitaka kujua bado tunajikongoja angalia website tu za mashirika ya serikali na binafsi uone zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo mfumo wa internet. Tatizo ni ubahili wa hao watoa huduma hununua bandwidth kidogo kuliko mahitaji ya wateja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada maelezo yako mengi uko sahihi.

Nadhani Maxcom wangerekebisha haya mambo kwa haraka bila ubahili na unyonyaji kwa wafanyakazi wake ingekuwa poa.

Maxcom ni kampuni ya mtanzania mwenzetu ndg Juma. Ikiwa tunachochea watanzania wafungue viwanda basi anahitaji support kubwa toka Costech,TCRa na wadau wengine wa serikali.

Tatizo la network kuwa down Tanzania naona ni janga la taifa ukienda TRA mifumo yao ya TANCis na mengineyo mengi inakuwa down kila kukicha,
Ukienda mabank crdb, nmb, Western union platforms kwa bongo kila kukicha tupo down.
Imefika wakati hata trafiki anakumbia mfumo upo down.

Tunahitaji ku import na experts wa mifumo, Fedha zitutoke za maana tujenge network servers za ukweli.

Afrika ya kusini huwezi hata siku mojaa ukasikia hakuna network bank au popote hata Reservation systema za hotel tuu hapa bongo zinasumbua.

Ukitaka kujua bado tunajikongoja angalia website tu za mashirika ya serikali na binafsi uone zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia inategemea na ISP waliyemkodi. Kwa tulio kwenye TTCL mtandao upo kasi kama china vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom