Recent content by kijanah

  1. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema imekamilisha Awamu ya kwanza ya operesheni yake Ukraine, yakiri kupoteza wanajeshi 1,300 vitani!

    wanapokea silaha je wameweza kuliondosha jeshi la urusi, urusi kalipua ngome ya siri ya jeshi la ukraine
  2. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema imekamilisha Awamu ya kwanza ya operesheni yake Ukraine, yakiri kupoteza wanajeshi 1,300 vitani!

    mnachoshindwa kuelewa kuwa urusi hakuwa na nia ya kuiteka ukraine bali lengo lake ni kulidhoofisha jeshi la ukraine na ndo maana alikua anashambulia sehemu muhimu za kijeshi aliweza kuizunguka miji yote mikubwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Meet Apple M1 Ultra

    hapo intel ndo huwa anawapiga na kitu kizito tsmc
  4. K

    JamiiForums Tanzania CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

    PBZ wanaendesha biashara kwa namna mbili, kuna pbz islamic banking hiyo inafuata misingi ya kiislam na kuna upande wa kawaida huko ndo wanaendesha kama benki zingine wanavyofanya biashara
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

    vipi kuhusu TUNZAA, ni app ya kibongo iliyotengenezwa na watanzania inafanya poa sokoni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

    vinahotspot na usb tethering ipo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo kampuni ya Apple kukosa Soko Afrika

    aangalie one plus 9
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo kampuni ya Apple kukosa Soko Afrika

    apple soko lake kubwa ni china na huko ndipo anakouza simu, fuatilia
  9. K

    JamiiForums Tanzania Oppo simu Bhana!

    mkuu security waliyoiweka oppo ni ngumu mtu kuiflash, na ukitaka kuiflash firm ware unanunua toka kwenye website yao
Back
Top Bottom