hakuna chakupoteza, hizo unazoziona leo znabei ya kiwanja, kesho zitashuka thamani na kuuzwa bei za infinix, ni suala la muda tu, hata iphone5&6 nazo zlikuwa azikamatiki, lkn leo hii kila mtu anazo, yaan uku uswahilin zinauzwa kama karanga.
biashara ni ushindan hata hao wamilik wa apple wanajua nn wanafanya, na wana mipango yao ya muda mrefu kumaintain hali ya biashara kwa kipind kijacho, si ajabu wakaja na vifaa bora zaid na bei ya chini kulko wakina tecno.
udhaifu wa hii kampuni nikuaa inafanya biashra zaid na watu wenye pesa, yaan mataifa tajir, na kufanya bidhaa zao kutopata soko ktk mataifa masikin huku afrika, tofaut yao na makampuni ya kichina na kikorea,
samsung japokuwa ni kampuni kubwa, lkn wana bidhaa za kununuliwa na kila aina ya watu wenye chumi tofaut, mfano simu ya samsung unayonunua huku bongo, usizan itakuwa sawa na yayule aliyeuziwa USA, China, England, kama huamin kaangalie matoleo ya masamsung S-series yalivyo mabovu, na yaani betri kufa ni rahisi, pia kioo kuvunjika ni rahisi pia, sasa takataka kama hizi usizan znaweza pata kibari kuuzwa nchi zilizoendelea, na hapa ndpo kampuni ya samsung inajitahidi kuteka soko la biashara kwa kuwahudumia wateja wote bila kujal vipato vyao, kama wafanyavyo Apple.
dunia nayo inabadirika sizan kama iyo miaka unayosema kama kuna mtu atataka kutumi simu za hovyo, maana utandawaz utakuwa umekuwa sana na watu watajali kuwa na vifaa vya mawasiliano vyenye ubora bila kujali gharama, nazan hata sas unaona muamko wa watu mitaani kununua Iph12&13 wapo hata wasio maisha bora, lkn wamemudu kununua sabb ya kile kilchomo mule,