Recent content by Kijana Wa Dar

  1. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii video nishawahi kuiona
  2. Kijana Wa Dar

    Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Huu Uzi umenigusa sana , mkuu umeongea kana kwamba nimekueleza maisha yangu ukayaandika JF.Sasa nimejua Mimi ni introvert, tena kwelikweli. Mtihani zaidi ni kutongoza
  3. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kashoka 2015 tulimkuta private ,kama sikusei alikuwa F au D Coy.
  4. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Namkumbuka huyo si ndio kipere kafupi fupi?
  5. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Opp gani mkuu?
  6. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nishamkumbuka , alikuwa anaitwa mbise.Yule si wa manyara hivi
  7. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo si ndio Beatrice?
  8. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu janja wa 2019
  9. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu tulikuwa wote Bravo Coy, me platoon 1 section 2 , afande kabeya,Natalya,wame ,Husna , benja,ibra na wengine kibao kina Bruno nawakumbuka.Afande Beatrice pisi Kali
  10. Kijana Wa Dar

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unaongelea OP kikwete na huyo luten ni Mpume , Huyo aliyetoka Bulombola anaitwa Meja James.Huyo alitutesa sana , siku ya kwanza alitulisha doso uwanja wa damu kisa kuna mtu aliitika hovyo ruti ya mabio ilipotaka kuanza.
  11. Kijana Wa Dar

    Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Mimi nilihamia Pentecost toka 2019 mwishoni , nimeokoka na nimejua mengi kuhusu Yesu
Back
Top Bottom