Recent content by Kijana Mzeeeh

  1. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzuri sana katika mahusiano

    Habari wakuu! Nimeona nisogeze hii tuipate hapa jukwaani Enjoy!
  2. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Ishara 9 za kutambua kama mpenzi wako anaku-control

    Worth publishing [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
  3. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Idadi ya wanaume imepungua sana, wanawake kuweni macho kabla hamjaingia kwenye ndoa

    Hili la nyeto sikubaliani na mtoa mada. Shida huwa ni mwanzo tu baada ya muda mambo yanarudi imara tu
  4. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa Lobola kwa binti asiye kigoli?

    Hapana si kweli. Kiimani anaetoa Bikra ndie Mume hasa tena kwa agano la damu. Wengine tunajiegesha egesha tu. Ni mambo yamebadilika tu. Ila Bikra ni muhimu sana hata Imani za dini zinatambua hili.
  5. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Huwezi kuvimba kabisa. Yaan ni kukaa kwa kutulia tu maisha yaende. Maana hakuna maajabu umefanya. In short its hard to be proud of her mbele ya watu wengine. Kama unaenjoy, basi utabaki unaenjoy ndani kwako tu kimya kimya (which is Good)
  6. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hata Mimi binafsi ningefurahi sana kama mke wangu bikra yake ningetoa Mimi. Na ningekuwa very proud of her. Lakini sifa za mke sio bikra pekee, nikakubali tu kufanya compromise.
  7. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Sipendi kwakweli

    Hayo ni mawazo yako binafsi kabisa. Kwa uzoefu wangu, Majibu ya tongozo huya yanategemea tu anayetongoza ni nani. Unaweza tongoza kizembe kama Mwamba hapo na Papuchi ukaichakata fresh tu. Na unaweza weka mbwembwe zote na ukaambulia patupu.
  8. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Papuchi ya mpenzi wangu sio ya moto kabisa tatizo ni nini?

    Hizo za moto unazoongelea nazo kuna uwesekano mkubwa ulipigwa Mkuu. Kuna vidawa vyao huwa wanaweka. Pambana na hiyo hiyo ya Baby wako... ndio natural hiyo.
  9. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Anajua the best night club in Mbeya

    Ni Mwailubi Pub ma City Pub (kama sikosei). Sidhani kama kuna sehemu nyingine.
  10. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

    Siku nyingine sio leo
  11. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mimba ndio kigezo cha kuoana

    Kuthibitisha uzima wa mitambo ni muhimu Mkuu. Mambo kabla ya kukutana huwa ni mengi sana. Usikute walisha korokochoa na kizazi huko.... wewe uje kupambana tu bila mafanikio. Hapana Aisee. Test Mapema ndio ubebe.
  12. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Kauli gani iliwahi kukukosesha usingizi kwenye mahusiano?

    Niliwahi ulizwa... "Hivi ni kipi hasa ninachopata kutoka kwako?"
  13. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye pesa ndio wenye True love

    Hao huwa wanaolewa ili kutoa nuksi tu.
  14. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akikunyima style uitakayo unafanyaje?

    Hii kweli kabisa. Hadi huwa nahisi labda hawapendi mbuzi kagoma. Na hata akitoa ni kama kukuonjesha tu sababu umeomba omba sana.
  15. Kijana Mzeeeh

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kujua Oil inaenda kilomita ngapi?

    Habari wadau! Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa? Mfano hii hapa pichani.
Back
Top Bottom