Recent content by kijana mvaa gwanda

  1. K

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    anaepajua mbozi tafadhali naomba taarifa
  2. K

    Joshua Nassari akabidhiwa bakora na shuka kuagwa rasmi jimboni

    huu ni mvuke kutoka kwenye kichwa kinachotoa mvuke
  3. K

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    hapa naona historia ndefu ya iptl na sioni utetezi hapo...blablablaa...
  4. K

    MAWI0: Sitta aliukosa u-spika kwakuwa hakuwa na matiti!

    Hiyo makala haina tatizo lolote......
  5. K

    Kwanini Tanganyika iitwe BARA na Zanzibar iitwe hivyo bila mabadiliko?

    Kwasababu kunawatu hawapendi watu tujue asili yetu.....
  6. K

    TBC mbona mnahoji upande mmoja ?

    Tbc hawatafuti habari wao huletewa habari....
  7. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Nikimtazama buhuhela naona kabisa ni kijana anae jua anachofanya....sidhani kama atadumu itv
  8. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Hapa nataka tusipotoshane...yaani hata kuongea pia kunategemea malipo??? Vp kuhusu mikao yao pale newz rom pia kunategemea malipo??? By the way mbna samadu hassan anafanya poa?? Kwani kikeke kaanzia wPi??? Tukubaliane watangazaji wetu wengi ni vilaxa tu....mfano mimi ni jooooooj maratuuuuuuu...
  9. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Mm namshangaa sana gondwe...maana vitu alivokua anatufundisha pale tumaini mbna itv hatuvioni!!!! Mfano mavazi kwa itv ni tatizo....ila buhohela anajitahidi kwakweli
  10. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Samadu hassan mkali....ila gabriel zakaria kimeo
  11. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Yaani katika profesionalism clouds hawapo kabisaaaa.......codes of conduct hakuna pale....labda millard
  12. K

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Tatizo hawa jamaa wanaiga badala ya kuwa wabunifu.....
  13. K

    Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

    Kwa nini kitila ameamua kuwa neutral!!???? Mimi nilitegemea aamue kufuata mrengo mmoja....sasa hapo usomi wake uko wapi!!???
  14. K

    Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

    Kitila alitoka nje kabisa ya key..na hata alipo kua anarudishwa kwenye njia na charles hilary yeye alikomaa kuendelea kujadili off line....wat a shame..
Back
Top Bottom