Mimi siku hz hadi bunge lenyewe huwa naangalia star tv, maana nahisi wanachokirusha moja kwa moja si harisia, halafu kuna kipindi mambo yakichachama bungeni wanaanza kukatakata kwa signal, wakati star tv iko poa, taarifa ya habari nina miaka naangalia ITV na hata ukiend kwenye bar nyingi hapa taarifa ya habari ni ITV na siyo TBC, watangazaji na waandishi wao hawana weledi, wala mvuto, na hata wanachokiripoti ni cha kuisifia serikali mambo mengine hawaoneshi