Gazeti la MAWlO linastahihili kufungiwa na serikali kutokana na waandishi wake kutokufuata taalamu ya uandishi unaozingatia maadili nitanukuu baadhi ya maneno kama ifuatavyo 'Spika wa sasa ,Anna Makinda, aliukwaa tu uspika wa Bunge la Muungano baada ya Sitta kushindwa "kumea matiti" haraka na kugeuza sauti kuwa nyororo'.
Jamani haya magazeti yanatufundisha nini kwa kauli kama hizi?
Jamani haya magazeti yanatufundisha nini kwa kauli kama hizi?